M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,201
- 23,030
yeah.... jamaa yupo deep!Nondo nzito aisee...
YNWA
yeah.... jamaa yupo deep!Nondo nzito aisee...
YNWA
Ulitaka wampange nani?Hawa makocha wajinga kweli wanawezaje kumpa nafasi mchezaji asiyeweza kugeuka na mpira na hawezi kubeba majukumu wakati wanaoweza kugeuka wako nje.Nimalize kusema ,Hili ni fumbo kubwa ,kitu wanachokiona makocha kwa Hendo hamuwezi kukiona mpaka muwe makocha.
Lallana anapewa game time ili kumuweka sokoni..anatakiwa auzwe hela at least nzurinzurikosa hili alilifanya gemu ya spurs na Leo kalirudia klop ana kiburi sana ifike mahali awaamini madogo.
Kama hivo basi ni sawa tuLallana anapewa game time ili kumuweka sokoni..anatakiwa auzwe hela at least nzurinzuri
Kama hivo basi ni sawa tu
Kabisa aisee...Timo atue Anfield kuziba pengo la January 2021 akina Mane wakienda AFCON
Sent using Jamii Forums mobile app

.

Kitu tinaomfanya Arsenal uku tutawafanya ninyi Mara mbili...
This is Chelsea..
Timu ya baba timu ya mama timu ya babu timu ya bibi x2.
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Uyu Klopp kafanikiwa tu kwa sababu timu zingine haziko vizuri ...ngoja sisi tuive ..Liverpool utayiona ya kawaida sana..interesting analysis, this.


yeah right.... ni kweli timu zote Ulaya na dunia nzima haziko vizuri.Uyu Klopp kafanikiwa tu kwa sababu timu zingine haziko vizuri ...ngoja sisi tuive ..Liverpool utayiona ya kawaida sana..
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Red ya mapema, nkajua hakuna mpira huko. Hata ivo mnashindwa kuwafunga wasiotimia!!
Uyu Klopp kafanikiwa tu kwa sababu timu zingine haziko vizuri ...ngoja sisi tuive ..Liverpool utayiona ya kawaida sana..
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu tinaomfanya Arsenal uku tutawafanya ninyi Mara mbili...
This is Chelsea..
Timu ya baba timu ya mama timu ya babu timu ya bibi x2.
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app