Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Timo atue Anfield kuziba pengo la January 2021 akina Mane wakienda AFCON

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii Timo Werner bwana ni mtihani kwanza kwa sasa anauzwa £51m na kama ujuavyo ujeremani hua wachezaji wao wazuri wanapenda wabakie pale pale hivyo chagua lake ndani ya German ni Bavaria na nje akiamua kutoka nje ni Liverpool endapo tutafika hio bei...

Huyu sio wa kukaa benchi hivyo Klopp anakwenda nae taratibu sana...

Kwa mafanikio tulionayo kwa sasa sioni akichagua kwingine nje ya ujeremani labda tushindwe bei...

Chelsea wanahaha baada ya kumkosa Dembele...

Welcome home Timo when you are ready..

YNWA
 
IMG_7500.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Key points from Jürgen Klopp’s press conference ahead of tomorrow’s trip to Wolves:
• Shaqiri stance confirmed - he’ll be going nowhere this month.
• Injury-wise, Dejan Lovren is back in training, while Keïta, Milner and Shaqiri remain out - expected back soon though.
• Spoke on Oxlade-Chamberlain’s frustration at being subbed, saying he did pick up a small knock which was the reason for him being subbed - all fine though.
• After Fabinho’s return on the weekend, Klopp said he’s getting closer and closer to being able to start a game.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
VVD angebaki alikokuwa asingepokea tuzo aliyopata, same kwa Mo Salah na Mane,

Sasa mfano mzuri Alli Bakari,.daadeki, Huyu mwamba angebaki Roma hakuna ambaye angejua hata hilo jina la ALLY BAKARI ,
Ila sijui coutinho akiiona Liverpool anajisikiaje....Funzo tosha kwa wachezaji waliokariri Madrid na Barcelona ndo kuna mafanikio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom