Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,314
- 7,167
Na kwako mkuu! Tumewanyoosha!
Na kwako mkuu! Tumewanyoosha!
Kwani manure wanajua haya? Wao wanajua VAR inawababe Liverpool ili wawe mabingwa! Kazi kweli kweli, bila Hiyo walikuwa wameloa 4-0VAR hapa ilitenda haki kabisa...
Naumia mnoWw jamaa una roho mbaya ,hujaridhika na 2-0
Binafsi nimesikitika uwezo wa kushinda hata goli 4 ulikuwepo sijui Mane leo alikuaje.Ww jamaa una roho mbaya ,hujaridhika na 2-0
Kiukweli nlitegemea ushindi wa goli 4+Mm nasema hivi licha ya salah kufunga
Ila hawa mastriker wajitume zaidi
Inaniuma kuwafunga goli mbili hawa
They showed weakness
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndiye alikua wa kwanza kufika kwa salah.Aisseeeee hiv Ali Becker aliwezaje kutoa asist alafu akawa wa kwanza kwenda kushangilia na Mo salah[emoji848]
Haiwezekani ngoja niangalie highlight kwanza inawezekana alipaa yule[emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
True kabisa mkuuMm nasema hivi licha ya salah kufunga
Ila hawa mastriker wajitume zaidi
Inaniuma kuwafunga goli mbili hawa
They showed weakness
Sent using Jamii Forums mobile app
kosa hili alilifanya gemu ya spurs na Leo kalirudia klop ana kiburi sana ifike mahali awaamini madogo.
Uyu salah mbna Yuko kama anakibiongo[emoji3][emoji3]Allison kapiga assist alafu wa kwanza kuja kushangiliaView attachment 1327935
Sent using Jamii Forums mobile app
kosa hili alilifanya gemu ya spurs na Leo kalirudia klop ana kiburi sana ifike mahali awaamini madogo.
Wakati huo wapinzani wasipoteze.Kimahesabu kati ya mechi 17 zilizosalia, tukishinda mechi 11 tukafungwa 6 sisi ni mabingwa,
Sent using Jamii Forums mobile app
Lallana mkataba wake unaisha mwisho wa msimu kwaio kivyovyote vile kama timu inataka aondoke ataondokaLallana anatakiwa kuuzwa, lazima apewe game time ili timu zimuone.
Lallana mkataba wake unaisha mwisho wa msimu kwaio kivyovyote vile kama timu inataka aondoke ataondoka
Sent using Jamii Forums mobile app