Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Dah unanikumbusha 2013/14
Upara wa Pep leo umeongezeka....13 points with 2 games in hand.
Thanks CRYSTAL PALACE
Kanifurahisha jamaa walivyochomoa akawa anakuna upara kama chiziBaada ya goli la pili la city pep alishangilia na kutuna huyo lakini baada ya kipenga cha mwisho katoka kalegea kama bamia
Sent using Jamii Forums mobile app
Bad comment at a good placeGood News at Wrong Place
Kanifurahisha jamaa walivyochomoa akawa anakuna upara kama chizi
Matokeo ya leo yamenifanya angalau kesho Manure wakituvizia Sare nisiwe na huzuni
Kuna game zipi hizo tarehe?Changamoto ya msimu itakuwa tarehe 23 na 29 kama tunaondoka na point 6, basi tutakuwa mabingwa mapema mwezi wa 3
Wolves na west ham
Wolves na west ham
Mzee vip mzee ..kesho mutatoka kweli..Haya majamaa tukikutana nayo sijui tunakuwa tumelogwa? Na ubovu wake lakini ndio timu pekee iliyoambulia sare na Majogoo kwenye raundi ya kwanza....
Imagine! Yaani unawacharaza kina ManShit, ChelSick. LazySista, AssesNo, TotoHumberger na wengine afu huyu mgonjwa Manure anakudindia droo.... huoni kama kuna kauchawi flani hawa Mbolea ya Bata wanakatumia??













Sina lolote la kusema. Naamini Mungu atatupigania. Tumeteseka sana, Mungu anasikia kilio chetu.


Wewe endelea kuota apo ..kesho Rashid atotuangusha...

