Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,851
- 2,771
Heeeee! Usiniambie? Basi mpra uishe sasa hata hiyo inatosha!
3 -2 tena? Looh, basi bwana ngombe wa maskini hazai!
3 -2 tena? Looh, basi bwana ngombe wa maskini hazai!
Mkuu uliposema Fernandinho katupia nikafikri amefunga la 3 kumbe kajifunga mwenyewe! Swafi sanaaaaaa!!

Mkuu uliposema Fernandinho katupia nikafikri amefunga la 3 kumbe kajifunga mwenyewe! Swafi sanaaaaaa!!
oyaaa.....embu ongeza volume kidogo huku nyuma hatusikii bana!!
Acha ujinga basi....3 -2 tena? Looh, basi bwana ngombe wa maskini hazai!

Si mpaka watahiriwe? we jamaa unazeeka vibaya ujue
Ngoja nielekee YouTubeBaada ya goli la pili la city pep alishangilia na kutuna huyo lakini baada ya kipenga cha mwisho katoka kalegea kama bamia
Sent using Jamii Forums mobile app
oyaaa.....embu ongeza volume kidogo huku nyuma hatusikii bana!!