Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,851
- 2,771
Kama kawaida Waingereza kwenye uzawaHii hapa chini ↓↓ ndiyo kimeniacha hoi![]()
"A team that uses a low block and defends deep to try to make games into tighter and more tactical battles would not suit Henderson."
Nimepitia hiyo Makala Danny Murphy anasema Hendo ni Complete Midfielder, then anasema tunapocheza na Timu inayotumia Low Block na kudefend deep hiyo game Hendo haimfaiSasa ucomplete gani huo?
![]()
Wenzake kina KDB, Rodri, Kante, Fabinho, Scot, Madison, Joginho and Now Fred ukidefend deep au ukifunguka wanapiga kazikazi tu![]()
Danny Murphy bhana!
Hawa waingereza kwa kusifiana kijinga!!!
Wacha apigwe,, vimemchanganya kwa formation ya 4:5:1 ila sioni vikipona 2nd half!!
Hawezi jua mkuu...Wacha apigwe,, vimemchanganya kwa formation ya 4:5:1 ila sioni vikipona 2nd half!!
Bado vimekomaa naye mkuu,, nikicheck dk kama ya 80 hivi vilikuwa bado mbele! Wacha vimkomalie had I mwisho! Arsenal naye kachomolewa goli huku dk 83! Kazi kweli kweli!
Aaaah,, noooo! Hii habari siyo nzuri kabisa, sasa si vitapigwa la pili hivi?
Tayari mkuuAaaah,, noooo! Hii habari siyo nzuri kabisa, sasa si vitapigwa la pili hivi?