Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hilo hilo unalosema kuhusu Lovren ukiodoa jocker ndio la Hendo pia...

Hatuhitaji kulipa $90K na $140k Kwa week ili mradi kuwafurahisha hao wawili..

June 2020 ataodoka mmoja wao...
Usije shangaa pia hawa wanaopata majeruhi mara kwa mara wanatolewa ..unaweza kuta mchezaji ukichukua mkataba wake ukiunganisha na muda aliokaa nje kwa majeruhi sawa sawa na msimu mzima..hiyo ni hasara huu msimu wako 50/50 kubaki ama kusepa ..tuone mechi zilizobaki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lampard amesashau boss wake kwenya kamusi yake hakuna neno kufungwo lol sioni mwakani akiwepo hapa Darajani labda upepo huu aukemee umpite mbali..

Congrats to Steve G Kwa shinda Old Firm derby leo..
Na sahvi kashakula uraia kabisa anaweza akashusha jeshi akaanza upya yule don ..maana sometime anatamanigi kushinda muda wote aangalii sura

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manure huyu kupata sare kwa liverpool ya sasa hapo mkuu umeteleza, hata ile sare ya ot tu ni msaada wa referee na VAR vinginevyo manure alikuwa anakufa goli si chini ya 3, goli la manure lenyewe ni uhuni wa referee, mtu anakatawa mtama wanachukua mpira na kutoa assist ya goli referee anyoosha mikono tu badala ya kupiga filimbi
Didn't remember kama kulishawahi kuwa na Mechi rahisi kati ya Liverpool na Manchester United hata kama ni Anfield.

Fanya calculation vizuri utaona tuna zaidi ya Misimu 4 tulishindwa kumfunga Manchester hapohapo Anfield mpaka tukambahatisha last season.

So, tunaweza kumfunga lakini sio rahisi kama unavyosema.

Pia yeye anaweza kutufunga au kutoa sare.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_7230.JPG

Done deal Diego carlos kutoka Sevilla.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kitendo cha Kila Mtu kuilalamikia Liverpool kuhusu VAR inaonesha kwamba sasahivi Liverpool ni Timu inayofatiliwa zaidi na Wapenzi wa Soccer kuliko Timu yeyote ile Duniani.
Na ndiyomana VAR ikiboronga kwa Vitimu vilivyokwisha ishiwa kama Manure na Chelsea basi hakuna anayejali, but ikifanya maamuzi yeyote kuhusu Liverpool ndiyo utaona kelele nyingi sana hapa.
Huo ndo ukweli mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manure huyu kupata sare kwa liverpool ya sasa hapo mkuu umeteleza, hata ile sare ya ot tu ni msaada wa referee na VAR vinginevyo manure alikuwa anakufa goli si chini ya 3, goli la manure lenyewe ni uhuni wa referee, mtu anakatawa mtama wanachukua mpira na kutoa assist ya goli referee anyoosha mikono tu badala ya kupiga filimbi

Sent using Jamii Forums mobile app

Msimu ulioisha, Man Utd tuliwafata kwao wakiwa wabovu, ndani ya dakika 25, walipata injuries 3 na hivyo substitutions zote zikaisha.

I expected kwamba tungechange game plan kutumia advantage ya sub kuisha ili kushinda game, mwisho wa siku game ikaisha suluhu. Kwa muktadha wa namna hiyo, game yetu kwa Man Utd siyo ya kuichukulia kiwepesi.

Uliona msimu huu tulivyokimbizwa OT, regardless ya hayo malalamiko ya VAR, Man Utd walikuwa bora zaidi yetu siku ile.
 
Manure huyu kupata sare kwa liverpool ya sasa hapo mkuu umeteleza, hata ile sare ya ot tu ni msaada wa referee na VAR vinginevyo manure alikuwa anakufa goli si chini ya 3, goli la manure lenyewe ni uhuni wa referee, mtu anakatawa mtama wanachukua mpira na kutoa assist ya goli referee anyoosha mikono tu badala ya kupiga filimbi

Sent using Jamii Forums mobile app

You're right! But mpira hauzungumzwi hivyo bro.

Hata Bayern tulitoa draw Anfield tukenda tukamfunga uwanjani kwake.

It's already written kuwa hakuna game rahisi ya Liverpool v/s Manure hata kama Liverpool au Manchester atashinda.

Don't take this as an argument! Just expression of my view
 
Usije shangaa pia hawa wanaopata majeruhi mara kwa mara wanatolewa ..unaweza kuta mchezaji ukichukua mkataba wake ukiunganisha na muda aliokaa nje kwa majeruhi sawa sawa na msimu mzima..hiyo ni hasara huu msimu wako 50/50 kubaki ama kusepa ..tuone mechi zilizobaki

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwangu wakivaa ule uzi na kupata nafasi wajitume kama Lallana mechi ya juzi alijitahidi mno kadri awezavyo...

Msimu wa 2011-2012 Manchester City alichungua ubingwa Wa EPL ikiwa ni mara ya kwanza ndani ya miaka 44, walichukua Kwa wingi Wa magoli dhidi ya Manchester United, ubingwa huo mechi ya mwisho ya walishinda dhidi ya QPR 3 2 pale Ethad huku Manchester United wakitoka sare Sunderland pale stadium of Light ..

Super Mario Balotelli mechi hio alitoa assist Kwa Sergio Aguero goli la ushindi na ndio ilikua assist yake pekee aliyotoa kwa msimu mzima EPL na ndio iliwapa ubingwa Wa kwanza kabisa ndani ya miaka 44, hivyo japo tunaona hawa akina Lallana, Hendo nk sio levo yetu Kwa sasa bado wana nafasi ya kutusaidia pindi nafasi zikijitokeza..

It's coming home 19th...

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom