Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu mimi ni Mkongwe ila hapo waweza nikamata, asaiv utandawazi mpira hata kwenye simu unaweza kuangalia na kusoma chambuzi mbali mbali tofauti na wakati wa nyuma, mimi pia shabiki wa Simba ila siwezi kukutajia kikosi chote cha Simba kwasababu sifuatilii sana, ila hapa mzee baba nakutajia list yote ya kikosi cha Liverpool mpaka wachezaji wanaohisiwa kutua Anfield msimu ujao

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha Simba tupo imara Leo lazima apigwe mtu..

Yeboyebo jana kashinda basi kelele kama zote..

Ni wakati wa Wekundu sasa...
 
Hahahaha ndugu yangu utulie hivyo hivyo aisee wenzio huku hayo ya VAR hayatusu..

Niwashauri wote wanaosema tunapendelewa na VAR anwani na ilipo ofisi ya England Premier League wawaandikie au wawatembelee kuwasilisha malalamiko yao.

Wanaweza kuwasilisha malalamiko yao kupitia mitadao ya kijamii au kwenda kwenye ofisi japo kwenda ni Kwa appointment tu hivyo mtuache tumechoka na kelele za VAR nendeni bado mechi nyingi mkawasilishe malalamiko..

Registered Office
The Premier League
Brunel Building
57 North Wharf Road
London
W2 1HQ

Email ni info@premierleague.com

Twitter ni #premierleague

Ofisi za VAR zipo VAR hub Stockley Park West London

In the meantime its coming home 19th EPL
Nmewasilisha malalamiko yangu kwenye iyo e-mail ..nmejibiwa kwamba lipo nje ya uwezo wao ..inaonekana Liverpool wametoa mpunga mrefu sana kuhusiana na ili suala ..Labda niwasilishe FA kabisa maana hii EPL ni kama imewekwa mfukoni na Klopp..

#CFC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitendo cha Kila Mtu kuilalamikia Liverpool kuhusu VAR inaonesha kwamba sasahivi Liverpool ni Timu inayofatiliwa zaidi na Wapenzi wa Soccer kuliko Timu yeyote ile Duniani.
Na ndiyomana VAR ikiboronga kwa Vitimu vilivyokwisha ishiwa kama Manure na Chelsea basi hakuna anayejali, but ikifanya maamuzi yeyote kuhusu Liverpool ndiyo utaona kelele nyingi sana hapa.
 
ukweli ni kwamba walitaman sana tuwe juu kwa walau point 6 max, ili waanze msemo wao kwamba lazima city atupite.......

saa hizi point 13 (+ game in hand) zimewakatisha sana tamaa, wanaugulia kimya kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_7202.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hahahaha ndugu yangu utulie hivyo hivyo aisee wenzio huku hayo ya VAR hayatusu..

Niwashauri wote wanaosema tunapendelewa na VAR anwani na ilipo ofisi ya England Premier League wawaandikie au wawatembelee kuwasilisha malalamiko yao.

Wanaweza kuwasilisha malalamiko yao kupitia mitadao ya kijamii au kwenda kwenye ofisi japo kwenda ni Kwa appointment tu hivyo mtuache tumechoka na kelele za VAR nendeni bado mechi nyingi mkawasilishe malalamiko..

Registered Office
The Premier League
Brunel Building
57 North Wharf Road
London
W2 1HQ

Email ni info@premierleague.com

Twitter ni #premierleague

Ofisi za VAR zipo VAR hub Stockley Park West London

In the meantime its coming home 19th EPL
Kwa kelele za mbeleko ya juzi wenye mpira wao washasema mwezi February watatoa muongozo mpya kwa marefa kuhusiana na matumizi ya VAR.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom