Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Za Bournemouth
It is obvious? Na hapohapo imechukuliwa mara mbili tu na timu mbili tu Uingereza?? Mbona Chelsea hawakuibeba waliposhinda UCL? Na hiko kipindi hukuskia kelele maana hakukuwa na hii mitandao ya sasa. Kuna klabu yenye domo kuliko manchester?? Mkimfunga tu AZ ALKMAAR hapakaliki!Fifa World champion ni kakikombe ka hovyo tu..kipindi tunabeba hiki kikombe sikusikia hizi kelele kama mnazozipiga nyie..It's obvious mshindi wa UEFA ni champion wa Dunia
Upimbi mwingi mno kichwaniCoz ....coz.... coz....... acha upimbi
kana kwamba kalazimishwa kutazama EPL si aende La ligaKumbe mpira hukutazama. Ni kelele tu wapiga. Haya tazama hiyo video hapa useme kama mpira ulishikwa. WIVU UTAWAUA. Pambaneni na vitimu vyenu tia maji tia maji.
Mimi napenda ushindi wa halali sio wa VAR ....
Refer jana mkuu ..mijitu inadaka kama inacheza rede na goal linakubaliwa tena refa anapeta tu aaaaghg huu ni ujingaaaaaaaaa
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
We kaa na heshima yako iweke kabatini wakati sisi tukiweka kombe.Kusema kweli siku liverpool akichukua epl ,hakuna atakaye wapa heshima kuku nyie, coz dunia nzima inaona kuwa ni ubigwa wa kupangwa,
Coz ni aibu kubwa sana na watakuwa wameidhalilisha league yetu pendwa epl, kubebwa bebwa na var mpaka anakuwa bingwa wakat wanaume wa kazi wenye ubora wao wapo wananyimwa nafasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni more than a good time bro. We are on cloud nine. What a time to be alive! YNWAchaliifrancisco nimeiona like yako, I hope you are having good time.
haya tazameni huo.mpira ulioshikwa hapo ... WIVU UTAWAUA...Hivi jana vs Arsenal kama ni upendeleo wewe na Chelsea mnajiodoa wapi...
Mimi napenda ushindi wa halali sio wa VAR ....
Refer jana mkuu ..mijitu inadaka kama inacheza rede na goal linakubaliwa tena refa anapeta tu aaaaghg huu ni ujingaaaaaaaaa
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni more than a good time bro. We are on cloud nine. What a time to be alive! YNWA
Hahaha ukweli ni kwamba VAR bado ni geni sana ndio kwanza msimu wa kwanza inatumika EPL ukumbuke pia hao wataalaam Wa VAR ni binadamu hivyo 'kupitiwa' nako kupo lakini tuendako huko mbele naamini watajiweka sawa kwani kila baada ya mechi timu zote EPL zinawasilisha ripoti zao kuhusu VAR na marefarii kusudi wazidi kuboresha..Sasa mkuu Fargie Si wazi kabisa alibebwa na marefa??? Kama ilivyo sasa mnabebwa na VAR bana
Enewei me nawatakia ubingwa mwema ila tusem tu ukweli VAR inakera kimtindo, ila ikiwa upande ni tamu balaa...
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Wew kilaza hujitambuiCoz ....coz.... coz....... acha upimbi






dhidi ya Bournmouth, Salzburg, Watford, Flamengo, Leicester and Wolves.V.....van daik6 clean sheets out of 6.dhidi ya Bournmouth, Salzburg, Watford, Flamengo, Leicester and Wolves.View attachment 1307282
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtakufa kwa kihoro. Na bado.V.....van daik
A......anord
R.......robertson
V.....van daik
A......anord
R.......robertson




Unawashwa washwa sana dgooo


Mpira haujashikwa ila alinyanyua mkonoKuna watu wanakosa raha aisee. Yani hapa bandaumiza mtu anaumia mpaka unamwona anataka kufa kabisa!![]()
![]()
haya tazameni huo.mpira ulioshikwa hapo ... WIVU UTAWAUA...View attachment 1307242
Sent using Jamii Forums mobile app
last season var ingekuepo tungekua mabingwa, city alifaidika sana kwa magoli (maamuzi) yasiyo halaliLakin hii var wapinzani msimu uliopita waliililia sana baad ya kuona Liverpool tumefunga magoli mengi ya offside.
Sasa mbona mnaanza tuzonga tena ghafla namna hii hamuitaki au? maana mkiikataa tutaanza kufunga magol ya offside tena mpk museme po wenyewe
Me naona bora muwe wapole tu maana hata uwezo wetu ni mkubwa ndio maana jezi yetu kwa sasa imechafuka vyeo tu
. Sasa achilia mbali VAR turud kwenye common sense hiv timu gani kwa sasa inakifua cha kuifunga LFC ?(labda tuanzie hapa)
hapana ni january 2, 20:00GMTNimeona ratiba ni jan1 saa tano ucku