Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sometime punguza kuishi kwa mijadala bro! Haikupi faida yeyote hii zaidi kujijengea sura ya ubishi.
Hii inaitwa nyani haoni kundule, saivi humu kumekuwa na mijadala isiyo na tija hadi kero lakini kwavile kuna uhuru wa kutoa maoni tunaacha tu kama nilivyoachwa mimi kutoa maoni
 
Hey guys achaneni na hawa watu wanaoongelea ishu ya VAR

Mbona var ikituua wanakua kimya na tena huwa wanashangilia kweli na sio mara moja

Angalia game ya villa, game ya man u na nyingine nmesahau they were quiet and happy

City juzi kapewa goals mara mbili na VAR wapo kimya ani all their blames are to liverpool

Yaani wewe mbongo unajua kuliko watu walioweka sophisticated systems zao za VAR kisa imekuchania mkeka

You guys are stupid ani so stupid and really Rubbishes

VAR imekuja kuleta fairness hakuna tena ujanja wenu wa miaka ile watu wanabebwa na webb

VAR have killed us many times hadi klopp akalalamika kwamba sa hivi no need ya kushangalia sababu huwezi jua VAR watakacho decide

But watu sasa nye nye nye kibao ani

F. Ck you all who you hates liverpool this team gonna kill you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
liVARpool ,, mbeleko fc, mama nibebe, itakapofika may ndio tutajua mbivu na mbichi...

Sent using Jamii Forums mobile app
You can't have 13 points gap plus a game in hand Kwa mbeleko

Either hujui soka, au uliandika ukiwa umelewa

Stats za VaR zipo soccernet.com

The goal was correctly disallowed, we have had two similar goals disallowed

Usisubiri may kujua mbivu na mbichi... Angalia Tu timu lako bovu linavyondirima kama gari la mkaa

Shubaamiittt
 
If you think you're ignorant, just think about people wanaosema they're waiting mwezi wa May kujua mbivu na mbichi.

Hivi Liverpool inasubiri May kubeba EPL??

Just we're waiting end of April kudeclare ubingwa.

Hiyo May only tunasubiri tujue kama unbeaten record tumeifikia tu na wala so ubingwa.
 
Sometime punguza kuishi kwa mijadala bro! Haikupi faida yeyote hii zaidi kujijengea sura ya ubishi.
So hata Kama ukiulizwa kitu tusijibu kisa tutaonekana wabishi!!?punguza mihemko mkuu mm nimemjibu alieyeuliza Kama hana Henderson amefanya mchango wwt ndani ya misimu minne.sijaona hilo la ubishi.
NB:Kama Kuna mtu anaongoza kwa ubishi na kupenda ushindani wa kuhaminisha anachokitaka yy basi ni WEWE .

Sawa endelea! Mimi niache na Mihemko yangu
 
Kwamba katika kutoa pongezi zako umeshindwa kumpa pongezi KING NGWABA???????? Hii ni chuki ya wazi Kabisa kwa mwana.

HAPO HATUONANI TUNA CHUKI WHAT IF TUKIONANA?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mm kutokutaja jina la King ndio tafsir kuwa na chuki nae!!?Mimi Sina chuki na yyt chief hasa tunaoshabikia timu moja plus wengi hatujuani.na siwezi kutoa pongezi kwa kila mtu mkuu lkn haimaniishi siukubali mchango yao.na kwa kuonesha Hilo PITIA POST ZA KING NGWABA NYING UNAWEZA ONA NANI UWA LIKE SANA ANACHOKIANDIKA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
liVARpool hata wawe na 15 points Gap hawatishi...

Tunajua muda wenu wa kuanza kuangusha maembe mnahitaji kuzingua mechi 6 au 7 tuu kati ya 18 zilizobaki..
You can't have 13 points gap plus a game in hand Kwa mbeleko

Either hujui soka, au uliandika ukiwa umelewa

Stats za VaR zipo soccernet.com

The goal was correctly disallowed, we have had two similar goals disallowed

Usisubiri may kujua mbivu na mbichi... Angalia Tu timu lako bovu linavyondirima kama gari la mkaa

Shubaamiittt

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom