Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mwisho wa Msimu kitakachoandikwa ni 'Liverpool imebeba Kombe' na wala sio VAR.

Ni sawa na sisi tuliokuwa tukilalamika Howard Webb alikuwa akiibeba Manure lakini mwisho wa ilikuwa ikiandikwa Manchester kabeba kombe na wala si Webb aliyebeba kombe.
naikumbuka offside moja ya young aisee nilishangaa sn,,, alikua offside karibu mita 3 au 4 hivi lkn refa hakuona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
V.....van daik
A......anord
R.......robertson
Hapa ni lile swali kati ya yai na kuku kipi kilitangulia..

Hao wapo klabuni kabla ya hii VAR haijanza..

Takumi nae huyoooo tarehe 5jan rasmi mchezaji wetu ana magoli yake ya kutosha EPL..
 
Big signing liverpool
IMG-20191230-WA0006.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom