Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
OK, well done boy! Chose your botton to press right now



man city chelsea leicester wote wamechukua ubingwa miaka ya karibuni na kulikuwa hakun VAR ila mistake hata zikitokea zinakuwa ni chache, sasa watu walitegemea kuwa VAR itakuja kufuta au kupunguza makosa hayo kwa kiasi kikubwa lakini maajabu yake ni kwamba makosa yameongezeka licha ya referee na hao maassistant wake kuwa na muda wa kutosha wa kulichunguza tukio na kulifanyi maamuzi.



Hapo timu itakayomsumbua Manshit ni Chealsick labda kidogo na Spurs, lakini Manure pale hakuna timu litafungwa tu!Ndiyo kitu kisichowezekana kwani Kuna Spurs (A), Chelsea (A), Leicester (A) na Manure (A) hapo lazima hatovuuka salama![]()
![]()
Sisi tulifika fainal Sema tulizingua. Yule former manager wa Liverpool Benitez alitufelisha.Kikombe cha Ovyo wakati kuna Man City, Arsenal, Tottenham hawajawahi kushiriki hili Kombe tokea Timu zao zilipoundwa?
Hilo ni Kombe la Mabingwa wa Dunia ambalo Kati ya Timu 20 zinashoriki EPL ni Manchester na Liverpool tu ndiyo walioliweka kwenye Kabati then unaita Kombe la hovyo?
Angalau Timu 5 tu kati ya 20 zingebeba ungelikuwa na haki ya kuita ovyo.


Iyo video imeeditiwa na fans wa Liverpool.Kumbe mpira hukutazama. Ni kelele tu wapiga. Haya tazama hiyo video hapa useme kama mpira ulishikwa. WIVU UTAWAUA. Pambaneni na vitimu vyenu tia maji tia maji.View attachment 1307237
Sent using Jamii Forums mobile app
Commentator "Joghino was a lucky man today" hatimaye kaishia kuwafunga ...ukumuona yule Gonduzzi sjui Gudunzi ..alicheza faulo ngap lakin alipeta tu ...Sema refa naye ni binadamu ivyo alifanya fair ...lakini ninyi VAR ni kama imewekwa kwa ajili yenu tu..Hivi jana vs Arsenal kama ni upendeleo wewe na Chelsea mnajiodoa wapi...
Ile foul ya Jorginho ni kadi ndugu alitakiwa pale pale apewe kadi ya jano ya pili =nyekundu lakini wewe unayaona ya Liverpool tu ambao hawazimiki Kwa keleke za mtandaoni...
Bila VAR msimu huu inasemekana bado tungeogoza league EPL Kwa pointi 6..sasa hizo kelele mtulie tu ni wakati wetu
yaaani haya machungu mnayosikia sasa juu yetu wenzio tuliyapitia kipindi cha Fergie, akaja Mouriohno na wengine aaa iliuma sana lakini hatukikimbia tulia jua fika siku itafika tutacheka na sisi na wakati ni huu 2019 makombe matatu ya uhakika historia pia tumeandika kuwa klabu ya kwanza kutoka Uingereza kushinda Champions league, Super cup na World club Cup Kwa wakati mmoja na upo uwezekano kujirudia tena 2020 haha mjipange.. Haha hii lazima iwanyime raha sana huku EPL mapema April tunaidaka haha...
Tumevumilia miaka 30 kusubiri haya ya leo nyie wapinzani mtajijua na hali zenu sie huku mambo ni motooo sanaaa
YNWA


Sawaaaa mzeeeeeee mimi sina shida banaaaaUnawashwa washwa sana dgooo
Na mimi si nmekuatack mani kama unavyotuatttack sisi...
Go and sleep young man
Sent using Jamii Forums mobile app








Uefa atabeba Chelsea ..bisha!Yani huyu Bwamdogo kama atastay fit mpaka mwisho wa Msimu iwapo na VVD atakuwa fit basi tunaweza beba EPL na UCL bila ya cuconcede hata goli 1 la open play.


