Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

LEO EPL INAANZA RASMI

Mimi Ushabiki Wangu ni 'Kushinda Kila Mchezo'.

Ikiwa Kuna Mtu ana Mentality ya Kuwa anatarajia Matokeo Matatu (Kushinda, Kufungwa au Kutoka Sare)! Basi abaki na mentality Yake hiyo asitulazimishe wengine tukubali.

Ikiwa Kuna Mtu ana mentality ya kuwa sisi kupoteza game au kudraw ni sawa huku akiamini kuwa "kila timu itapoteza points", Basi asubiri game ya mwisho aombee Mancity eti afungwe na kibonde ili sisi tubebe ubingwa.

Mimi mentality yangu ni Kushinda kila Mchezo kwani ndiyo Njia pekee ya Kubeba ubingwa mbele ya Guardiola ambaye kwake kila mechi ni Fainali.

Back in August 9, 2019

Niliikataa Mentality ya kuwa "KILA TIMU ITADROP POINTS".

Now see the result
 
People moved so fast to dismiss Joe Gomez baada ya ile game ya Salzburg..

Again, this shows how impatient LFC fans walivyo na wachezaji, especially GOOD PLAYERS..

Kabla ya his injury last season, Gomez was the best young CB in the world, lakini alivyorudi kutoka majeruhi na kucheza hovyo watu wakasahau yote aliyofanya kabla hajaumia.

Funny thing is, he's just 22, still a kid, but playing at the highest level, VVD hakuwa na Elite status akiwa na miaka 22 kama Gomez, but look at him now? Top 2 best player in the world right now. But again look at Gomez akiwa na miaka 22, ameshinda trophies kubwa zote (2019/20 EPL title included)..he's a special talent and we should be glad tunae at LFC..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha I like that one he has won 2019-2020 EPL trophy included wow just wow.. Usipojiamini nani atakuamini lazima tujiamini tu naweza ili tuweze, wachezaji wakijiamini, Klopp akaaminika basi na sis mashibiki tujiamini it's coming home.. Its sweet really sweet that we are lucky to witness history rewritten again as we head to the summit...

About Gomez man this bearded boy has a knack of getting injured just like most Britons sijui mifupa yao ipo vipi bhana... Nwa when he is on song he is really good really quick na ndogo hayumbi hata akutane nani he just perform to the best form...

At 22 and having won the highly level of trophies in club level I tell you he is good.. PSG, Barca, Bavarians, Citizen, Juve etc with all the talents they buy they could only stick to thier Tvs and watch us we take trophy after trophy man what's job this boys day in day out is just excellent...

If Gomez can stay fit then we have a solid partnership there with VVD.. Gomez ain't afraid to even aim for a long pass or try to dribble and see attack started...

If Trent will keep this form I would say his partnership also with Gomez will be crucial.. For Trent to express himself he need a real cover at the back and Gomez has done that job at Foxes with much ease I mean he pegged Vardy and covered Trent that a big one aisee.. Its takes some ball to peg EPL quickest striker but what about watching even the RB space wow, Salute this kid...

YNWA
 
Hahaha, Hendo has been good this time.

Binafsi nafurahi kwamba anajitahidi, tusisahau kitu kimoja, hii namba alishaicheza na hakufanya vizuri, bado cleansheets huwezi kusema ziko related na Hendo.

Tuna Keita maintaining offensive moves (we all know offense is a good defense), tuna Gomez, has raised his game to his standard before the injury.

Kwangu mimi nasema ni team work na circumstances.

Labda nikuulize swali, Fabinho akipona utamweka benchi ili namba 6 acheze Hendo?

NB: Game ya WC Hendo alicheza CB na hatukuwa na Cleansheet.
kwa upande wangu binafsi ni Fabi any day of the week kwenye DM.
ila Klopp akiamua otherwise, mimi ni nani wa kumpinga?
 
Uwepo wa hao watatu huifanya team pinzani ijisahau maana wanakuwa makini na hao tu hivyo kurahisisha wachezaji wengine ku create other chances

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha timu pinzani awepo Salah hua wawil wanabaki nyuma maana wanajua ndogo ikipigwa kaunta basi atawaadhibu.. Msimu wake kwanza wengi aliwa funga Kwa kua hawakujua wamkabe vipi... Msimu wa pili haha makocha walishamjulia kwamba huyu si kuachwa na beki mmoja lol

Ishu ni pale Mane na Salah wote wanariadha ni ngumu kuwakaba kwenye kaunta Ki Ukweli hawa jamaa wanajitolea sana tu na mishahara yao sio kivileee lakini wanachotupa uwanjani ni furaha..
 
kwa upande wangu binafsi ni Fabi any day of the week kwenye DM.
ila Klopp akiamua otherwise, mimi ni nani wa kumpinga?

Okay, assuming Fabi is back and everyone is at this current form, niambie kati ya hawa 3 inachagua 2: Keita, Gini and Hendo.

Fabi is not in kwa sababu 6 ni yake.
 
ngoja nichokonoe mapovu ya wadau hapa..... hahahaaa!!

am not sure about this stat but it's alleged that tangu Hendo recently alipoanza kucheza as a DM baada ya Fabi kuumia, LFC imeweza kupata clean sheets kwenye hizo games zote.

kama hii stat ni sahihi, swali linakuja....
je, is it a coincidence or Hendo's impact after position switch?

mapovu kutoka pande zote ruksaa!!
Hahaha.. So hendo is better than fabinho tavazarez

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwasasahivi haina haja ya Mtu mmoja kuwaprovoke wengine kuhusu Henderson, Huu mjadala wa Henderson hauna haja ya kuletwa tena kwa kipindi hichi kwa sababu hatuna cha kukosoa.

Sasa kama anafanya tulichokuwa tunakitaka kutoka kwake tujadili nini?

Sisi hatukumkosoa Henderson kwa sura au rangi yake! Bali tulimkosoa kwasababu ya kiwango chake! Sasa kama kaboresha kiwango tumkosoe kwa lipi?

Kilichobakia tumpongeze tu aendelee kuboresha kiwango chake ili tubebe kombe.

Misimu miwili iliyopita hapa tulimkosoa Klopp vikali sana kwa Kuto Kusaini mpaka kuna watu wakatuambia tunamchukia Klopp na tunajiona tunajua zaidi kuliko Klopp!

Tokea alipowasajili Salah, Keita, VVD, Robertson, Alison na Fabinho umeshawahi kutuona kumkosoa Klopp kuhusu kusajili?
Si sote tumenyamaza kimya!!

Hapa ndiyo tujue kuwa sisi hatuchukii Mtu wala hatujifanyi tunajua zaidi! Bali tunakosoa mambo anayoyafanya Mtu husika.

So, na huyu Henderson kwa kiwango anachoonesha sasa basi tunafurahia wala hakuna haja ya kumuanzishia mijadala kwani amerekebisha tulichomkosoa.

Mimi kuhusu Mijadala ya Hendo wacha niishie hapa.

Kilichobakia nitamjadili kimpira tu sasa kama ninavyowajadili kina Mane na wengine.
Klopp ni memba mwenzetu humu

Anatumia id ya mosdef

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Liverpool boss Jürgen Klopp has issued a fitness update on Jordan Henderson, Fabinho, Dejan Lovren, Joël Matip and Alex Oxlade-Chamberlain.
Klopp told Liverpoolfc.com: “Quite OK. The boys we had available should be available again.
“The only problem is that we are training later this afternoon so I still have to wait for all the information, that’s how it is in this period. But it looks like they should be all fine.”
When asked about whether Henderson has recovered, the boss said: “Yeah - it’s only pain!”
On Fabinho, Lovren, Matip and Oxlade-Chamberlain he added: “All positive but that again means unfortunately nothing in the first place because they should all be back in training [at the] latest by mid-January [but] how many games do we have until then, four or five? I’m not sure. So that’s a little bit of a problem but we have to see.
“Ox is walking around here without crutches, without a boot, but we have to wait until the medical department gives us the green light.
“Joël is doing well, Fab is doing well, Dejan is doing well, so I would say in February we will have them all back. Until then, we have to see.”
20191228-0001.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
MosDef naona leo kawashukia watu mazima mazima.

Kuna mida Mo Salah anazinguaga, mahali pa kutoa pasi analazimisha kupiga wakati wenzake wako very open, kuna dribbles anafanya kwenye msitu wa watu hazifanikiwi lakini atarudia tena na tena.

Recently, ameanza pasi za visigino, ambazo nyingi zinakuwa zinapotea.

Hii tabia ya eti mchezaji fulani hatakiwi kusemwa kwa sababu ni World Class I personally disagree with it. Kwa sababu huu ndiyo mwanzo wa kutengeneza monsters.

Mtanikosoa kwa hili: Kuna times Mo alikuwa ni mchoyo kupindukia na Klopp alikuwa hazungumzi kitu mpaka Sadio akaamua kui address kwa kuonyesha frustrations baada ya kutolewa, atleast from there kajitahidi kubadilika.

So, every player should be hold accountable.

Exactly


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Pukki anamwua Mourinho huku! Na sijui kama naye yuko kwenye kundi la washindani wetu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom