Watery
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 2,729
- 3,498
Salah anafanya kitu gani ambacho kinasababisha asionekane team player?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vingi tu
Kisa liverpool ni timu inayopata nafasi nyingi za kufunga haimaanishi mtu awe mchoyo
Kwa uchoyo wa kijinga anaoufanya maranyingi unakuwa unaboa wachezaji, especially sehem za kutoa open chance, ni mtu anaejitaidi sana(namaanisha sana) kufunga adi anasahau timu
Sikuzote ukijaribu sana zipo zitazokubali, kitazokubali ndo zinawafanya nyie muamini bado ni mkali wakati apo kapoteza chance kama tano
Ata gem ya Redbull Swazbuirg alikosa nyingi mno ila mwisho akapata, kuna easy goals ambazo anakosa kitu kinachofanya aonekane makali hayapo sikuiz, naweza kumlaumu na ni ngumu maana anatafuta sana stats(kitu ambacho mashabiki wengi hufurahia)
Mi gem nyingi za liver naangalia(almost zote nisipokuwa bizze sana)
Ila huyu mtoto sifa na kuona Rank yake ndani ya liverpool imeshuka ndo zinamfanya afanye madudu
Kuna vitu vingine uchovu hauusiki, kajamaa kale hakajachoka, sema kamekuwa kachoyo na kanajisahau sana
Everton tuliwapiga 5
Yawezekana angekuwa ndani tungewapiga 2 na moja au yote mawili angefunga salah
Juz analazimisha kupiga sipo
Naamini ile gem na Flamengo ile assist angekuwa Salah tusingefunga
Msimu wa kwanza alikuwa mkali sana maana hakuwa mchoyo kabisa na ndio sababu ya kupata sifa zote zile, ila baada ya apo analazimisha apate stats na magoli kama msimu wa kwanza
Ukija ile mechi ya Barca, gem ya kwanza Salah alionekana sana, ndo kitu kilichotucost, unaonekana sana ila wengine walio katika open chance huwapi mpira, bali umpige chenga Jordi Arba ili upate kuonekana
Kuna chance nyingi adi nyingine mane na firmino wako open ila hawapewi
Sometimes mtu flan akionekana sana kwenye mechi wengine hawaonekani, ndo maana watu kama Zidane ni moja ya wachezaj wa5 wakali kuwah kutokea ila ukiangalia stats ni za kawaida sana


