Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_7158.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
ngoja nichokonoe mapovu ya wadau hapa..... hahahaaa!!

am not sure about this stat but it's alleged that tangu Hendo recently alipoanza kucheza as a DM baada ya Fabi kuumia, LFC imeweza kupata clean sheets kwenye hizo games zote.

kama hii stat ni sahihi, swali linakuja....
je, is it a coincidence or Hendo's impact after position switch?

mapovu kutoka pande zote ruksaa!!
 
Mimi nadhani kama timu tupo kwenye peak ambayo hata nani acheze wapi tutashinda tu.
Lakini Hendo kawa mtamu sana kipindi hiki...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ngoja nichokonoe mapovu ya wadau hapa..... hahahaaa!!

am not sure about this stat but it's alleged that tangu Hendo recently alipoanza kucheza as a DM baada ya Fabi kuumia, LFC imeweza kupata clean sheets kwenye hizo games zote.

kama hii stat ni sahihi, swali linakuja....
je, is it a coincidence or Hendo's impact after position switch?

mapovu kutoka pande zote ruksaa!!

Hahaha, Hendo has been good this time.

Binafsi nafurahi kwamba anajitahidi, tusisahau kitu kimoja, hii namba alishaicheza na hakufanya vizuri, bado cleansheets huwezi kusema ziko related na Hendo.

Tuna Keita maintaining offensive moves (we all know offense is a good defense), tuna Gomez, has raised his game to his standard before the injury.

Kwangu mimi nasema ni team work na circumstances.

Labda nikuulize swali, Fabinho akipona utamweka benchi ili namba 6 acheze Hendo?

NB: Game ya WC Hendo alicheza CB na hatukuwa na Cleansheet.
 
ngoja nichokonoe mapovu ya wadau hapa..... hahahaaa!!

am not sure about this stat but it's alleged that tangu Hendo recently alipoanza kucheza as a DM baada ya Fabi kuumia, LFC imeweza kupata clean sheets kwenye hizo games zote.

kama hii stat ni sahihi, swali linakuja....
je, is it a coincidence or Hendo's impact after position switch?

mapovu kutoka pande zote ruksaa!!

Why isiwe tokea aumie Matip na kucheza Gomez?

Gomez hana impact yeyote kwenye game?

On behalf of all Liverpool supporters I acknowledge that Henderson is best defensive Midfielder than Fabinho Tavares.

Last season tulikuwa na 21 clean sheet in EPL only think he was Henderson at DM

Challenge = Povu according Ufipa Voice

Criticism = Hate according to Top Reds

Dismiss = Truth according to fools
 
Hendo ni kweli kabadilika na hakuna mshabiki yeyote wa Liverpool asiyefurahia kiwango cha Hendo kipindi hichi kwani mwishi wa Msimu kombe halitaitwa la Hendo bali ni la Liverpool.

Lakini sifa anazopewa jamani zimezidi uwezo wake.

Unaweza sema ni Messi au ana kitu special ambacho wengine hawajawahi kukifanya.

Hendo akifunga Goal basi linasifiwa utadhani hakuna mchezaji ndani ya Liverpool aliyewahi kufunga goli.

Hendo akitowa assist basi ndani ya mwezi mzima itasifiwa utadhani yeye ndiye ya mwanzo kuassist msimu huu.

Ivi assist na goal ni kitu cha ajabu ndani ya Liverpool kweli????

Nadhani siku atakayofunga Alisson ndiyo tunaweza kusema kafanya Maajabu! Lakini kwa mchezaji kama Hendo kufunga goli au kuassist na tukafanya ndiyo stori ya mjini hapo ndiyo kumdharau kwenyewe huko kwani itaonekana jamaa kufunga ni miujiza kwake.

Kiukweli Hendo kwa kipindi hichi anastahili pongezi kutokana na kuboresha kiwango chake kwa kiasi kikubwa na wala hatuna sababu ya kumkosoa kwa sasa, Lakini tumpe sifa anazostahiki na si kumpa sifa kama kwamba ni Messi.

Kuna wengi kwenye Timu wanaojitoa na tunawaona, tuwape sifa kwa usawa na so kumpick mmoja tunayemtaka kama kwamba anacheza peke yake.

HONGERA HENDERSON KWA KUBORESHA KIWANGO CHAKO
 
Kwasasahivi haina haja ya Mtu mmoja kuwaprovoke wengine kuhusu Henderson, Huu mjadala wa Henderson hauna haja ya kuletwa tena kwa kipindi hichi kwa sababu hatuna cha kukosoa.

Sasa kama anafanya tulichokuwa tunakitaka kutoka kwake tujadili nini?

Sisi hatukumkosoa Henderson kwa sura au rangi yake! Bali tulimkosoa kwasababu ya kiwango chake! Sasa kama kaboresha kiwango tumkosoe kwa lipi?

Kilichobakia tumpongeze tu aendelee kuboresha kiwango chake ili tubebe kombe.

Misimu miwili iliyopita hapa tulimkosoa Klopp vikali sana kwa Kuto Kusaini mpaka kuna watu wakatuambia tunamchukia Klopp na tunajiona tunajua zaidi kuliko Klopp!

Tokea alipowasajili Salah, Keita, VVD, Robertson, Alison na Fabinho umeshawahi kutuona kumkosoa Klopp kuhusu kusajili?
Si sote tumenyamaza kimya!!

Hapa ndiyo tujue kuwa sisi hatuchukii Mtu wala hatujifanyi tunajua zaidi! Bali tunakosoa mambo anayoyafanya Mtu husika.

So, na huyu Henderson kwa kiwango anachoonesha sasa basi tunafurahia wala hakuna haja ya kumuanzishia mijadala kwani amerekebisha tulichomkosoa.

Mimi kuhusu Mijadala ya Hendo wacha niishie hapa.

Kilichobakia nitamjadili kimpira tu sasa kama ninavyowajadili kina Mane na wengine.
 
Kitu pekee ninachokifurahia kwasasa ni kuona Washabiki wenzangu wa Liverpool wameachana na ile Mentality ya "Kila Timu Itadondosha Points" ha ha ha ha.

Nakumbuka last season tukiwa tunaongoza kwa points 7 hadi January na tukaanza kutoa Draw za kiajabuajabu tukapiga Mayowe kuwa hizi draw zitatucost kwenye ubibgwa!

Waliibuka Watu akiwemo Klopp mwenyewe na Mentality ya kuwa 'Kila Timu Itadrop Points akiwemo Man City'.

Ndiyo hapoa Haters wakatuibulia msemo wa kuwa "KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE" huku kina Everton na Manure wakipanua miguu tu ili wagongwe na Man City watukomoe sisi.

Hatimae mwisho wa Msimu wengine tulidondokwa na Machozi.

Lakini Msimu huu kuanzia Klopp mwenyewe na Mshabiki yeyote yule wa Liverpool sidhani kama yupo mwenye Mentality ya kuwa Kila Timu itandosha point.

Bali sasahivi tuna "Mentality Monster" ya kushinda kila mechi, si ndiyo?

Labda niulize tu yupo mshabiki mwenye Mentality ya kuwa "KILA TIMU ITADROP POINT"?
 
ngoja nichokonoe mapovu ya wadau hapa..... hahahaaa!!

am not sure about this stat but it's alleged that tangu Hendo recently alipoanza kucheza as a DM baada ya Fabi kuumia, LFC imeweza kupata clean sheets kwenye hizo games zote.

kama hii stat ni sahihi, swali linakuja....
je, is it a coincidence or Hendo's impact after position switch?

mapovu kutoka pande zote ruksaa!!
coincidence mkuu..........

swali, hivi kule qatar tulipata cleansht kwa wale wa mexico?!....... fake stat

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo mentality msimu huu imehamia kwa city pmj na wapinzani wengine
Kitu pekee ninachokifurahia kwasasa ni kuona Washabiki wenzangu wa Liverpool wameachana na ile Mentality ya "Kila Timu Itadondosha Points" ha ha ha ha.

Nakumbuka last season tukiwa tunaongoza kwa points 7 hadi January na tukaanza kutoa Draw za kiajabuajabu tukapiga Mayowe kuwa hizi draw zitatucost kwenye ubibgwa!

Waliibuka Watu akiwemo Klopp mwenyewe na Mentality ya kuwa 'Kila Timu Itadrop Points akiwemo Man City'.

Ndiyo hapoa Haters wakatuibulia msemo wa kuwa "KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE" huku kina Everton na Manure wakipanua miguu tu ili wagongwe na Man City watukomoe sisi.

Hatimae mwisho wa Msimu wengine tulidondokwa na Machozi.

Lakini Msimu huu kuanzia Klopp mwenyewe na Mshabiki yeyote yule wa Liverpool sidhani kama yupo mwenye Mentality ya kuwa Kila Timu itandosha point.

Bali sasahivi tuna "Mentality Monster" ya kushinda kila mechi, si ndiyo?

Labda niulize tu yupo mshabiki mwenye Mentality ya kuwa "KILA TIMU ITADROP POINT"?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha ha mjadala wa Salah umepamba Moto! japo tuagree kudisagree ukweli usiofichika juu ya kuwa Salah ana weakness zake uwanjani, still ni undropable.

Tukiangali interm of advantage v/s disadvantage basi Salah ana advantage nyingi anazo-offer kuliko disadvantage.

Mtu hawezi kunishawishi Mimi wa Klopp kuwa eti Salah aanzie Bench ili aanze Origi au Xhaqiri.

Fu.ck! Origi and Xhaqiri ahead of Salah??? Tuweni serious jamani!!!!

Hakuna Timu isiyotamani kuwa na Salah huo ndiyo ukweli.

Kuna wachezaji tuweni wakweli tu hata tukiwachukia vipi lazima wataanza tu coz hatuna upgrade wao.

1) Wa kwanza ni Salah! Kwasasa hatuna mbadala wa Salah, kwahiyo hata iweje lazima ataanza tu! Huwezi sema kuwa eti aanze Origi au Xhaqiri mbele ya Salah! Stats za Salah za kufunga, kuassist na kucreate nafasi zinaongea.

2) Wa pili ni Henderson! Huyu haiwezekani kuekwa benchi coz hatuna mbadala wake.
Nilihisi OX atakuja kuwa mbadala wake lakini ukweli usiofichikia OX ni failed project (Due to injury).
Narudia tena OX ni failed project.
That's Why unanikuta namkosoa sana Henderson lakini mimi mwenyewe sikubali aekwe Benchi, Naamini FXI yetu haiwezi kutimia mpaka awemo Hendo. Sio kwamba ni Bonge la mchezaji! Bali ni kwamba hatuna mbadala wake.

Mchezaji kuanzia bench haina maana kuwa kawa dropped ishu ni ku-take the seriousness ya afya binafsi ya mchezaji .... Salah akipumzika ama kuanzia bench kutamnufaisha kurudi katika hali ya kawaida ukizingatia ndo front pekee aliyecheza dakika nyingi

Nobody want Salah kuwa bench kisha Origi/Shakiri aanze muhimu kujali afya yake asije kuwa out of form kabisa
 
Hapo King umesema kweli tulikuwa na hiyo mentality last season, but now the story changes.
Kitu pekee ninachokifurahia kwasasa ni kuona Washabiki wenzangu wa Liverpool wameachana na ile Mentality ya "Kila Timu Itadondosha Points" ha ha ha ha.

Nakumbuka last season tukiwa tunaongoza kwa points 7 hadi January na tukaanza kutoa Draw za kiajabuajabu tukapiga Mayowe kuwa hizi draw zitatucost kwenye ubibgwa!

Waliibuka Watu akiwemo Klopp mwenyewe na Mentality ya kuwa 'Kila Timu Itadrop Points akiwemo Man City'.

Ndiyo hapoa Haters wakatuibulia msemo wa kuwa "KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE" huku kina Everton na Manure wakipanua miguu tu ili wagongwe na Man City watukomoe sisi.

Hatimae mwisho wa Msimu wengine tulidondokwa na Machozi.

Lakini Msimu huu kuanzia Klopp mwenyewe na Mshabiki yeyote yule wa Liverpool sidhani kama yupo mwenye Mentality ya kuwa Kila Timu itandosha point.

Bali sasahivi tuna "Mentality Monster" ya kushinda kila mechi, si ndiyo?

Labda niulize tu yupo mshabiki mwenye Mentality ya kuwa "KILA TIMU ITADROP POINT"?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom