LEO EPL INAANZA RASMI
Mimi Ushabiki Wangu ni 'Kushinda Kila Mchezo'.
Ikiwa Kuna Mtu ana Mentality ya Kuwa anatarajia Matokeo Matatu (Kushinda, Kufungwa au Kutoka Sare)! Basi abake na mentality Yake hiyo asitulazimishe wengine tukubali.
Ikiwa Kuna Mtu ana mentality ya kuwa sisi kupoteza game au kudraw ni sawa huku akiamini kuwa kila timu itapoteza points, Basi asubiri game ya mwisho aombee Mancity eti afungwe na kibonde ili sisi tubebe ubingwa.
Mimi mentality yangu ni Kushinda kila Mchezo kwani ndiyo Njia pekee ya Kubeba ubingwa mbele ya Guardiola ambaye kwake kila mechi ni Fainali.