Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

TAA kwa mtazamo wangu mimi is the best player in the league mpaka sasa.
Hahaha yupo nyuma ya De Bruyne na baada ya gemu ya jana wanachuana hivi kwenye EPL...

1. Kevin De Bruyne: 69 chances created (1407 minutes)
2. Trent Alexander-Arnold: 52 chances

Assit pia

1) Kevin De Bruyne ana 10 assist

2) Trent Alexander-Arnold 8 assist
 
Huyu Trent ni fullback while Bruyne ni 10

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha yupo nyuma ya De Bruyne na baada ya gemu ya jana wanachuana hivi kwenye EPL...

1. Kevin De Bruyne: 69 chances created (1407 minutes)
2. Trent Alexander-Arnold: 52 chances

Assit pia

1) Kevin De Bruyne ana 10 assist

2) Trent Alexander-Arnold 8 assist

Undisputed

TAA is the best RB kwenye Universe na sio hii planet Earth tu.

After 5 - 6 seasons kama ataremain kwenye Consistency basi atakuwa Greatest Of All Time (GOAT) kwenye RB.

Now wacha Dogo afanye kazi yake
 
Unajua Shankly alistukuza sana kustaafu kwake mwaka 1974 na klabu haikua na plan B ya hapo kwa hapo na kwa vile tangu Shakily anateuliwa kua kocha wa Liverpool mwaka 1959 alimteua Paisley kama msaidizi wake basi uongozi ukaona kumpa hio kazi mwaka 1974 itakua ni mwedelezo Wa yale mazuri aliyokua anafanya Shankly...

Shankly alimkuta Paisley Liverpool akiwemo na Fagan na hapo hapo wakaanza kazi maridadi kabisa kujenga kikosi..

Bob Paisley alikua pia ni daktari Wa viungo pale Liverpool kazi yake ya kwanza baada ya kustaafu soka, inasemekana Kwa kuangalia tu mchezaji bila hata kupima aliweza kujua nini kinamsubua. Kazi hii hakwenda chuo mbali alijifundisha mwenyewe.

Bob Paisley alijiunga Liverpool mwaka 1939 na alikuja kustaafu mwaka 1983. Aliitumikia Liverpool miaka 44. Alishinda mataji 20 ndani ya misimu 9 aliyodumu kama meneja.
Alikua ni real scouser mzaliwa Wa jiji la Liverpool, alifariki mwaka 1992.

Joseph Francis Fagan alijiunga na Liverpool mwaka 1958 kama kocha wa reserve team kazi aliyoifanya mpaka mwaka 1971, baada ya hapo alifanya kazi na kikosi cha kwanza mpaka 1974 alivyopandishwa rasmi kua kocha msaidizi Wa Bob Paisley.

Baada ya Bob Paisley kustaafu mwaka 1983 klabu iliona itumie mbinu ile ile ya kuedeleza aliyoifanya Paisley na wakampa kazi hio Joe Fagan.

Msimu wake Wa kwanza alishinda vikombe viatu League Championship, League Cup na European Cup.

Alistaafu mwaka 1985 japo alipanga kustaafu mwaka 1984 na hakushinda taji lolote msimu wake Wa mwisho ikiwa ni mara ya kwanza kwa Liverpool kutoshinda chochote ndani ya miaka 10. Baada ya Fagan klabu ikamteua kocha mchezaji King Kenny Dalglish mwaka 1985.

Tukio ambalo lilipelekea akumbwe na msongo Wa mawazo ni ile Fainali ya Ulaya kati ya Liverpool vs Juventus iliyochezwa uwanja Wa Heysel Ubelgiji na ikatokea ajali ukuta kuangukia mashabiki wengi wakiwa ni Wa Juventus. Baada ya ile ajali mechi ilichezwa na Juventus wakashinda moja bila goli akifunga Platini Kwa penati. Hili Tukio lilipelekea Liverpool kufungiwa kushiriki mashindano ya Uefa Kwa takribani miaka 6 na vilabu vingine Kwa Uingereza miaka 5.

Joe Fagan alikua ni scouser pia mzaliwa Wa Liverpool, aliitumikia Liverpool Kwa miaka 27. Alifariki mwaka 2001.
Asante sana , kumbe hawa jamaa Paisley na Fagan walikuwa wanatokea kama ma assistant coach wanaliendeleza , Hivi ken daglish Ile 1995 alikuwa ni Kocha mkuu au msaidiz Blackburn rovers ?
 
Undisputed

TAA is the best RB kwenye Universe na sio hii planet Earth tu.

After 5 - 6 seasons kama ataremain kwenye Consistency basi atakuwa Greatest Of All Time (GOAT) kwenye RB.

Now wacha Dogo afanye kazi yake
Definitely he will be the very best and if he can increase the goal rate wow just a very successful career ahead...

Daniel Alves ndio for the last decade took the headlines as best dynamic RB but Kwa sasa heading to the next decade we have our very own scouser with super consistent ...

Hahaha jana he created from both wings and he is the 1st player this season to assist in both wings in the second half EPL..

What a boy we have here...

Gomez is the perfect partner to make him blossom... Sky is the limit.

YNWA
 
Kale katoto kana akili ya mpira,
 
Asante sana , kumbe hawa jamaa Paisley na Fagan walikuwa wanatokea kama ma assistant coach wanaliendeleza , Hivi ken daglish Ile 1995 alikuwa ni Kocha mkuu au msaidiz Blackburn rovers ?
Yeah Paisley na Fagan walikua wapo mule mule na ulikua utaratibu wa kuedeleza the scouser way hivyo kusajili kocha from within baada ya Shankly kuondoka...

King Kenny Daglish alikua kocha mkuu pale, japo gemu ya mwisho msimu huo tuliwapiga 2 Kwa 1. Waliupata ubingwa baada ya Manchester United kupata sare ya 1 1 dhidi ya Westham..Blackburn Waliupata ubingwa Kwa pointi 89 huku Manchester United akimaliza Wa pili Kwa pointi 88.
 
Salute to Klopp kumtoa Salah aisee jana he was not in his best and the gaffer was kind of irritated at times with his performance...

Hopefully Salah will get a good lesson on why that sub had to happen..

Boy so obsessed with the golden boot mpaka anasahau Liverpool comes kwanza then hizo personal accolades baadae..

Viva Firmino my boy is back and watch this space...

Over to you Manchester City catch us if you want or if you can.. 13 points caution and a game in hand..

YNWA
 
Si vizuri kufurahia injury ya Mwenzako, lakini Sometime injury inafaida kwa Timu.

Just I'm asking ma self......

√ Kama asingeumia Clyne tungelikuwa na TAA leo hii?

√ Kama asingeumia Moreno tungelikuwa na Robbo leo hii?

√ Kama asingeumia Lovren kwenye World Cup tungelikuwa na Gomez leo hii?

Na la mwisho.......
• Kama Karius asingefungisha dhidi ya Real Madrid tungekuwa na Alison leo hii?

Kila kitu kina Faida na Hasara, but angalia zaidi upande wa Faida.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom