Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_7139.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
We're done, the race is over
13pts clearly
Clean sheet
TAA & Gomez
On to the next game

Vijana wamecheza soka ambalo sikutegemea kabisa kutokana na ratiba yetu ilivyokuwa

Tusisahau tuna kiporo chetu kitakacho tupa ubingwa mapema

Hiki kiporo tunaweza kuwagawia Man Utd wajazilizie kwenye points zao.
 
Nitoe pongezi kwa kops wote. Liverpool wametupa zawadi nzuri ya sikukuu ya xmas. Kwa jinsi vijana walivyo na hari sioni ni kwa namna gani vijana watashindwa kunyanyua kwapa ikifika mei.

TAA huyo dogo ukimwangalia vizuri ni mchanganyiko wa Dani Alves na Devid Beckham. Zile cross zake zinanikumbusha becks na jinsi anavyopanda kusaidia timu ni kama alivyokuwa akifanya Alves.

Kuhusu Captain, Anaonekana kufanya vizuri anapocheza na Keita, Keita anasaidia Captain kufunguka zaidi. Tofauti akicheza na Milner na fabby au Ginni. Hii ni sawa na backline yetu kila anayecheza na VvD anaonekana mzuri, sababu VvD anawasidia kuficha yale madhaifu yao.

YNWA.

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Hahahahaaa kuna timu zina hali mbaya sana hata kuzicheka muda mwingine unazionea huruma
Kuna taahira hapo atakuwa ameaibika sana aisee! Nimecheka sana kuna jamaa aliweka analysis ya mjumuiko wa Manure na Arsenal kumbe hata wakiunganisha mechi zao 38 ndio tunalngana nao point, lakini tutawapiku kwa magoli! Poor Ole Gunnar!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom