Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,314
- 7,165
Cha 4
Cha 4


The best full back in the worldTAA hahaha just so young yet so lively
Kanajiwaza kenyewe tu. Kanapenda sifa sana. Ndo maana kloop kakatoa magoli yanaingia. Kacheze kitimu zaidi hizo tuzo binafsi zitakuja tu. Basi hapo roho inamuuma bobby kufunga mawili
Weee, ngoma ya watoto haikeshi!JK bwana, kwann asimwingize jones dogo apate japo dakika kadhaa..........
Sent using Jamii Forums mobile app