Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sina hofu kabisa na mechi ya leo,Kwa sasa imani niliyonayo kwa Vijana wetu ni kubwa sana.
WE GO AGAINNNNNNNNNN.

Kweli una Imani lakini Imani siyo inayocheza.

Mimi nina wasiwasi Mkubwa na Game ya leo Leicester kutukazia.

But ninatarajia ushindi.
 
Hii unbeaten Timu zote 19 zilizobakia hawaipendelei kuendelea kuwepo.

So, tutarajie upinzani Mkali kutokea sasa kwa kila tunaekutana naye.

Hii False hope waliyonayo Leicester City kuhusu kubeba Kombe ndiyo itakayowafanya leo watake kushinda ingawa kiuhalisia uwezo hawana.
 
Leo hajapaki semi-trailer? Wala sikuwa na mzuka kabisa wa kuangalia game yake,, nasubiri ya mabingwa wa vilabu duniani saa 5 usiku!
Alivyopachika la pili akamwingiza Eric Dier..

Akapaki kiasi na kusubiri kupiga kaunta..

Inafuata gemu ya Arsenal vs Bournemouth

Na Chelsea vs Southampton
 
Kweli una Imani lakini Imani siyo inayocheza.

Mimi nina wasiwasi Mkubwa na Game ya leo Leicester kutukazia.

But ninatarajia ushindi.
Mkuu kibiblia Imani huwa tunasema ni "kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo" hivyo sisi tuna imani pale King Power leo patawaka moto!
 
Hii unbeaten Timu zote 19 zilizobakia hawaipendelei kuendelea kuwepo.

So, tutarajie upinzani Mkali kutokea sasa kwa kila tunaekutana naye.

Hii False hope waliyonayo Leicester City kuhusu kubeba Kombe ndiyo itakayowafanya leo watake kushinda ingawa kiuhalisia uwezo hawana.
Sasa ndugu King Ngwaba ndio mbio halisi zinaanza Leo..

Tuseme tu gemu za kutoka August mpaka December ni rasha rasha... Mvua kamili ndio kuanzia gemu hii mpaka Mei 2020...

Hapa kuna timu zina pambana zisishuke Daraja hivyo its winner take its all...

Kuna timu zina pambana kuingia Big Four au kubaki big four..

Kuna ma meneja wanapambana kuokoa kazi zao..

Hivyo Klopp and the boys should give the best and only the best, no 'silly' draws kama zile za msimu uliopita dhidi ya Leicester na West ham...

Takumi I think will be our wild card..
 
Game ni saa 5 mkuu, ombeni kabisa ruhusa kwa shemeji zangu wasijekuwaletea kiwingu! Na Tanesco huku kwetu wameanza mtindo wa.kijinga kweli wa kukata umeme!
Hahahaha Shemeji yako siku Liverpool wanacheza hua anaambiwa mapema sana sema duh hii ya leo nilijua gemu mapema aisee.... Hapa inabidi kahawa iwe jirani kuniweka macho mpaka mida hio..
 
Ukifuatilia kwa kina siku timu zote zinakutana na liverpool zinakaza sana hata vibonde tunawafunga kwa tabu sana, unakumbuka mechi na Brighton ilikuwaje wakati alitoka kufungwa nyingi kwetu akatukazia kweli
Hii unbeaten Timu zote 19 zilizobakia hawaipendelei kuendelea kuwepo.

So, tutarajie upinzani Mkali kutokea sasa kwa kila tunaekutana naye.

Hii False hope waliyonayo Leicester City kuhusu kubeba Kombe ndiyo itakayowafanya leo watake kushinda ingawa kiuhalisia uwezo hawana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom