Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,314
- 7,165
Ha ha haaaa,, hiyo sitaki kuikosa! Ila Manure wanatia huruma!Mshabiki wa Manure hawezi kukatisha hapa muda huu, Ni mshabiki wa Chelsea huyo.
Dozi yake inaandaliwa na Spurs.
Ha ha haaaa,, hiyo sitaki kuikosa! Ila Manure wanatia huruma!Mshabiki wa Manure hawezi kukatisha hapa muda huu, Ni mshabiki wa Chelsea huyo.
Dozi yake inaandaliwa na Spurs.
Contribution ya Divok Origi kwenye mashindano na mechi muhimu kwa Liverpool wewe huiioni?Nakumbuka Kabla ya kuja Jürgen Klopp wengi wetu tulikuwa na Mediocre Mentality that's why hata usajili wa Lambert tulikuwa tukiona ni sawa.
But baada ya kuja Klopp na kutuletea watu kama Fabinho, Salah, Mane, VVD na Alisson ambao ni Calibre ya World Class player, tulipaswa kuondokana na zile Mentality za Mediocre ambazo ni za Midtable.
But kwa baadhi ya Washabiki wa Liverpool mpaka sasahivi bado wanashikilia zile Mentality za Midiocre za Timu ndogo.
Ndiyomana unapomwambia Sifa ya Timu kubwa hata kama itakuwa na Mchezaji mzuri kiasi gani basi wakiamua kusajili wanasajili upgrade yake aliyebora zaidi kuliko yeye! Basi hawa washabiki wanaoendeleza Small Team Mentality watakazania kukusifia LALLANA, ORIGI na MILNER na kuwa tayari Timu isisajili kwa sababu ya wachezaji hawa.
Hiyo ni SMALL TEAM MENTALITY
Salah's goal likatupa UCL
Mane's goal likatupa USC
Firmino's goal likatupa FIFA CWC
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOuko bien
Ox mchezesheni winger. Ndiyo asili yake.Chambalin akipangwa tunacheza hovyo chunguzeni kama ntakua nakosea japo akipata chansi hufunga ila kumiliki gem tunakua dhaifu.jaribu kumuhesabia tachi zake acha na magoli.ni maoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatua Westham wameshakumbaliana imebakia ndogo akumbali au akatae...A.K.A Gabigoal ni Mchezaji wa Inter Milan huyo yupo Flamengo kwa Mkopo
Hahaha duuh Mkuu King hivi husisimki ukiwataja hao wachezaji uchwara Wa enzi hizo maana tulipotea haswaaa imagine unamuuza Surez jembe unaleta Lambert na Super Mario man that was us in the darkest period...Nakumbuka Kabla ya kuja Jürgen Klopp wengi wetu tulikuwa na Mediocre Mentality that's why hata usajili wa Lambert tulikuwa tukiona ni sawa.
But baada ya kuja Klopp na kutuletea watu kama Fabinho, Salah, Mane, VVD na Alisson ambao ni Calibre ya World Class player, tulipaswa kuondokana na zile Mentality za Mediocre ambazo ni za Midtable.
But kwa baadhi ya Washabiki wa Liverpool mpaka sasahivi bado wanashikilia zile Mentality za Midiocre za Timu ndogo.
Ndiyomana unapomwambia Sifa ya Timu kubwa hata kama itakuwa na Mchezaji mzuri kiasi gani basi wakiamua kusajili wanasajili upgrade yake aliyebora zaidi kuliko yeye! Basi hawa washabiki wanaoendeleza Small Team Mentality watakazania kukusifia LALLANA, ORIGI na MILNER na kuwa tayari Timu isisajili kwa sababu ya wachezaji hawa.
Hiyo ni SMALL TEAM MENTALITY
Spurs nao mdebwedo tu...washapigwa mbili tayari. Mourinho team zake za zamani zinamnyoosha.Mshabiki wa Manure hawezi kukatisha hapa muda huu, Ni mshabiki wa Chelsea huyo.
Dozi yake inaandaliwa na Spurs.
He had a score to settle that why he so into us.... But slowly we are reclaiming our lost top spot club in UK... Next available sweet trophy ni EPLView attachment 1300548
ILIMCHUKUA FERGIE DECADE 3 KUITOA LIVERPOOL KWENYE PERCH YAO😎😎😎 THEN CANE THE NAZI BASTARD......WE AR BACK ON OUR PERCH....ALLEZ LES ROGUES
Hiki ndicho kilichomuondoa Arsenal , Wenger alimwambia wewe ni winger na utabaki ni winger , yeye akasema Ni kiungo wa katokea kati ili awe anapiga mashuti .,ndicho anachokipenda sana,Ox mchezesheni winger. Ndiyo asili yake.