Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713






Naona carabao inapita pemben
Hivi vitoto mlivyotuma kuchukua carabao leo naona wanaenda kula kipigo kizitoo
Sent using Jamii Forums mobile app






Klop ndio kayumbawalichowafanyia FA si jambo la haki hata kidogo












Siyo watoto hii ni Liverpoolhawa watoto wajitahidi hata wapate goli la kufutia machozi................
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo week itawahusuJogoo linachinjwa kabla ya Christmas, hii ni aibu.
#kipigochambwakoko
Klop ndio kayumba
Unaenda na kikos chote, kwan wanacheza wote
Mtu kama lalana, ox, milner, orig hao wangebak tu,
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasaga sumu mnafurahiiii...hao ni watoto watupu hapo. Kaka zao wameenda kuchukua Club World Cup huko Qatar.Msisingizie ni watoto,hii ni Liverpool tu......leo Aston Villa wanaweza kuwapa week
People like you are stupidJogoo linachinjwa kabla ya Christmas, hii ni aibu.
#kipigochambwakoko
I support himNinachokiona kwa wenzetu hawana vitu nusunusu, klopp anataka club world cup kwa nguvu zote. Hivyo kajipanga mpka wachezaji wa sub
Sent using Jamii Forums mobile app

Haya siyo mashindano ya watoto,hapa ni aston villa vs LiverpoolWasaga sumu mnafurahiiii...hao ni watoto watupu hapo. Kaka zao wameenda kuchukua Club World Cup huko Qatar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamekaa mwaka mzima wakiombea Liverpool FC afungwe, hajafungwa...sasa furaha yao ni leo kwa watoto wetu. Watu wa hivi ni kuwapuuza tu mkuu.