See? hili ndio tatizo kubwa sana linaloendekezwa na LFC based medias.
Jordan Henderson alikuwa kwenye form mbaya sana kwenye games zaidi ya 11 tulizocheza kwenye league tangu msimu uanze (which is understandable, as its okay for players ku-dip in form), but kuwa kwake out of form, hakukuondoa the fact kuwa alikuwa anacheza hovyo sana, na ukichukulia kuwa ni Captain wa team, during this period, LFC-based medias zilikuwa zinafanya kila liwezekanalo ku-downplay Hendo's bad performances, if y'all remember correctly Salah was the main target, as na yeye pia alikuwa ana struggle sana kwa bad performances, bad again articles kuhusiana na shit performances za Salah zilikuwa nyingi sana, na Henderson was casually getting away with murder, narrative ilikuwa Salah ni star-man wa team, so anatakiwa kucheza vizuri every-week, but what about the Captain? captain siyo star wa team?.
Now, Henderson amekuwa na 3 good performances in a row (Everton's cameo/Bournemouth & Salzburg), tunaanza kuona a lot of articles, zikijaribu ku-praise his performances, na kujaribu kuonesha kuwa he's the main man kwenye good form ya LFC for the last 3 games, which is not true at all.
See? kuna mchezaji kutoka Africa, ametoka kwenye injuries, LFC-based medias & ignorant top reds across the world walikuwa wanaaminisha watu kuwa he's shit, cant press, cant defend & team inakuwa so open in the MF kila akicheza, well, amid all these unfair criticims, amerudi kwenye First XI, and tumepata 2 clean sheet na ku-dominate the MF kuliko kipindi chochote cha msimu, the last time we dominated the entire MF with ease this season ilikuwa ni against Genk away at home, na kwenye hii game alicheza Keita, na bila blunder ya Lovren tungetoka na Clean Sheet, Keita amerudi, scoring 2 goals & kutoa Assist moja, na kushinda MOTM awards back to back by a good mile, but unaona LFC-based medias zikihangaika kumpa a well deserved PR? NO, unaona LFC-based medias zikichambua bit by bit uwepo wake uwanjani? NO, klopp juzi alisema kwasababu ya Keita's injury problems huwa anajiuliza "Kwanini mchezaji talented kama Keita haanzi week in-week out?", but LFC-based medias sijaona wakiipa nguvu hii quote, but kama ingekuwa ni Henderson/Lallana/Lovren etc tusingepumua.
Why would you go to VVD, and ask him how the players feel about Henderson & why he's under-appreciated by the fans?, kama siyo kutaka kumpa cheap headlines Hendo ni nini kingine? unadhania VVD angesema players hawamkubali Hendo? na kwanini umuulize mchezaji mwenzake anafikiriaje kwa Captain kuwa under-appreciated na fans? unawapa picture gani fans na wachezaji wenzake? huyo James Pearce juzi kataja team yake ya LFC ya decade (2010-now), na hajamweka kabisa Henderson, na kamuweka FABINHO ambaye yupo LFC kwa msimu mmoja na nusu tu, kamwacha Henderson ambaye ni Captain na yupo at LFC for 8 years, then unaenda kuuliza why he's under-appreciated, wakati wewe umem-disregard kwa kutomweka kabisa kwenye LFC team of the decade. unafiki kwa local jornos & medias ni mkubwa sana.
Hivi, kipindi kile cha SG, inafikiri kina Hyppia/Cara/Agger wangeulizwa huo upuuzi kuhusu SG?
Henderson is the most protected player at LFC, apparently its ok, to slate players like Salah/Mane/Alisson/VVD/Fabinho/Keita/Bobby/Gomez/Andy/Trent/Gini/OX/Matip & even the hardworking grandpa Milner but NOT Henderson, as he cant do no wrong.
Kwanini usimuulize VVD, kuhusiana na Keita's back to back MOTMs, 2 goals in 2 games, but unamuuliza kuhusu Henderson ambaye amecheza hovyo for the last 11+ games, kwanini usimuulize VVD kuhusu OX ambaye ana goals si chini ya Tano tangu arudi, kwanini usimuulize VVD kuhusu world class performance ya Shaqiri against Everton? kwanini usimuulize VVD kuhusu performance bora kabisa kutoka kwa Alisson msimu huu dhidi ya Salzburg? he won us that game kwa umahiri wake kipindi cha kwanza, kwanini usiulize kuhusu good form ya Gini now? coz as far as i remember nae alianza vibaya sana msimu huu kama Henderson, but its the captain ambaye anapewa shine yote, then kila siku tunahubiriwa ku-treat all players the same, but medias ndiyo zinakuwa za kwanza kuleta upendeleo kwa wachezaji.
Na nasema kila siku, hii kitu haimsaidii Henderson, inazidi kumuharibia mbele ya fans, why? angalia polls zote za LFC kwenys suala la MOTM, utaona kuwa Henderson anapata kura chache sana compared na wachezaji wengine, kwa mfano game against Salzburg was his BEST game as a number 6 at the Club, but alipata kura asilimia 16%, alipitwa na Salah, Salah was good but Henderson & Keita walikuwa ni stand-out payers kwenye ile game, he deserved to be so close with Keita kwenye %, but keita got 46% na yeye akapata 16%, which is kwa ile display yake haikuwa fair kabisa, but unajua kwanini inakuwa hivi? ni kwasababu fans wanaogopa Hendo akipata MOTM, a lot of PR zitapigwa kutoka kwa hawa ignorant jornos, hiyo MOTM tu inaweza fanya aongelewe week nzima, na hata ikitokea Klopp akam-drop kwaajili ya rotation, jornos/top reds wataanza kukumbushia MOTM yake ya game iliyopita, ndiyo maana ikitokea Hendo akicheza vibaya watu wanafurahia, which is so wrong, medias/top reds wameweka matabaka kwa wachezaji, na kibaya ni kuwa wapo wachache sana kwenye hii fanbase, so wanatumia nguvu nyingi sana kufikisha biased jumbe zao, ambazo zinam-cost Henderson.
I mean, kama tumechagua kusifia wachezaji, tusifie wachezaji wote kwa usawa, na kama tumechagua kuponda performances mbaya za wachezaji, tuponde wachezaji wote kwa usawa.
Top reds ndiyo huwa wa-kwanza kumfundisha Klopp jinsi ya kupanga/kuchezesha wachezaji, y'all remember wakati wanasema Fabinho hafai & Klopp should drop him? mnakumbuka walivyokuwa wanasema Matip hafai & Lovren should start ahead of him? mnakumbuka walivyokuwa wanasema Keita hajui ku-defend wala ku-press? na sasa wanataka Salah auzwe kwaajili ya Sancho & Firmino for Werner, kwasababu now wanapitia kwenye bad form, mind you usingewasikia wanakwambia Hendo auzwe for another CM wakati alipokuwa na bad form, na ikitokea umegusia suala la ubovu wa Hendo/Lallana/lovren etc watakwambia "Usimpangie Klopp", wakati wenyewe wanakuwa wa kwanza kumpangia Klopp, they're just so stupid & dumb, na nasemaga kila siku, kama mashabiki wa LFC wote wangekuwa na mindset ya hawa local jornos na Top reds, club ingekuaa Championship league now.
Nakumbuka, kabla sijajiunga kwenye hii platform, nilikuwa kwenye platforms nyingine nagombana sana na Top reds kuhusiana na kina Joe cole/Paulsen/Konchesky/Downing/Charlie Adams/Jose enrique/caroll etc, but leo hii top reds ndiyo wa-kwanza kupost picha za vikosi vya kina Downing na kuandika "WE HAVE COME SO FAR", wakati kipindi hicho walikuwa wanatoka mishipa kuwatetea, kuna Top reds kama wawili watatu humu, walinijia juu sana kipindi kile nilivyosema LUCAS LEIVA aondoke LFC, Aisee ilikuwa ni balaa, (mind you, Lucas was one of my fav players, but as an ambitious fan, i had to take one for the team, his time at LFC was over and we needed to build a new pillar under Klopp), sahiv ukiwauliza hao Top reds, Lucas arudi, watakuruka kama siyo wao, na ndo wakwanza kuja na posts za "From Lucas to Fabinho", they're so ignorant, its laughable.
Man, dont let Henderson get the unnecessary hate, mwenyewe anajijua kuwa he's not good enough, but he's trying his best, so just let him play football & serve his salary, its so sad kuona Captain anajitokeza twitter kila anapokuwa na good performances.
Having said that, personally i dont rate Henderson at all, and i'll never will, (i dont know, but i guess it runs ever deeper), but lets be honest, he's been very very very very very very very good for the past few matches, i like the look of this new Henderson, he can turn/find spaces to pass/his passing game is sublime/passing range is top notch/can carry the ball forward etc, i guess him playing alongside Fabinho kumemfungulia vitu vingi sana.
i dont know if its just a purple patch or what, & to be honest i wont be suprised kama akirudi kuwa shit after few games, but as long as his good form is helping the team now, then i dont care, kipindi ambacho Fabinho hayupo, amejitahidi sana ku-step up na ku-fill void ya Faby vizuri sana, (unaweza ukasema ni kwasababu ya easy opponents, but to be honest tumeshaona Henderson akicheza vibaya against very poor sides), for the last few matches ameonesha umuhimu wake as a captain, 3 good commanding performances in a row, na kiukweli amempunguzia hata Klopp headache ya kutokuwepo kwa fabinho.
I'm so so so happy for him, & naombea hii good form iendelee for the rest of the season, as we need every player kuwa at his very best msimu huu na especially katika kipindi hiki, and i really hope he will step up massively against Leicester.
I'm so happy for him.
Sent using
Jamii Forums mobile app