Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naona kama King Lampard mbinu zimeisha nguvu matokeo hayaridhishi...

Ningependa mvuke hii raundi pengine twaweza kutana..

Chelsea vs Liverpool Champions league hua noma sana..
Hahaa.. Kama unanikejeli ivi, ila fresh ngoja tupambane. Na nyie msijisahau wale vijana wa El Chollo huwa hawaelewekagi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Carlo naona kama atakuwa anajishusha hadhi yake tu... Everton?
Screenshot_20191216-231344.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa.. Kama unanikejeli ivi, ila fresh ngoja tupambane. Na nyie msijisahau wale vijana wa El Chollo huwa hawaelewekagi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hapana sio kejeli, ukweli ni kwamba nilitarajia Epl mtakua nafasi ya 10+ Kwa vile ham kusajili pia mna meneja 'mgeni' wa EPL, mliuza star player Eden na majereha Kwa key players yamewagharimu hivyo mme jitahidi sana mpaka kufika 16 bora UCL..

Muwe na subira na vile sasa mnaweza kusajili na Kante, Rudiger wanarejea kwenye form ni dalili mtakaa sawa...
 
Vijana wetu under 23 leo wanacheza na Villa robo final ya Carabao
Tuzidi kuwaombea,vijana hawa wanaweza fanya maajabu
Amen!
 
Predicted team to play Aston Villa: (4-3-3): Kelleher; Williams, Hoever, Van den Berg, Larouci; Chirivella, Dixon-Bonner, Kane; Elliott, Brewster, Jones

Subs: Lonergan, Clarkson, Koumetio, Coyle, Longstaff, Stewart, Christie-Davies
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom