Duu Spurs Kwa wale Salzburg kazi anayo..
Lakini Dah! Namuona Juventus anajilia papai Kuwa kijiko
Salzburg alishatoka mkuu, umemix majina ya timuDuu Spurs Kwa wale Salzburg kazi anayo..
Diego sasa na Klopp pale touchline patakua hapatoshi maana wote Kwa mzuka hawajambo..
Ndio ametua saizi kwa ajiri ya medical
View attachment 1294116
Sent from my iPhone using JamiiForums
Dogo ni mzuri sana...tumelamba dumeTakumi, Karibu Nyumba Ya Mabingwa.
Reds
Nguvu MojaUshindi Daima
![]()
Juventus huyo keshapita...Lakini Dah! Namuona Juventus anajilia papai Kuwa kijiko
Guardiola toka atoke Barca anapishana na kombe, lakini pia Man City hawana DNA ya Champions League.Real madrid anamfungashia city virago mapema sana
wazee wa uefa hawatakubali kuishia 16
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru nilimaanisha timu RB Leipzig ambao ni pacha wake Salzburg wote wanamilikiwa na kampuni moja...Salzburg alishatoka mkuu, umemix majina ya timu
Salama ndugu...Hapo Salah na Messi ni kama wale wauza madafu kutoka VikinduView attachment 1294357
Sent using Jamii Forums mobile app
Both legs will be very very appetising game to watch..Atletico bora wakubale yaishe palepale Madrid, Lakini wakijifanya kutufunga pale Madrid basi wakija Anfield kitakachowakuta Mungu ndiyo anaejua.