Don njinji
JF-Expert Member
- Dec 29, 2017
- 688
- 1,555
Hahahahahahahahah na Next game ni Manchester city vs Leicester wanauana tena.
King karudi
Kesho niko upande wao!
Shauri wacha wauane mkuu ili mradi ya kwetu yazidi kutunyookeaHahahahahahahahah na Next game ni Manchester city vs Leicester wanauana tena.



Ngoja nikawachungulie Manure sijui wana page ngapi?Page #4000
Comment #79982
YNWA
REDS FOREVER