Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

VAR i salute you nilikaa na shabiki wa chelsea wakati goli la mane linakataliwa aliisifu sana VAR ila wakati goli la bounamouth linakubaliwa na VAR jamaa alitukana mbaya!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mashabiki wajinga sana wanataka VAR iwapendelee wao tu ikiamua vingine wanatukana sana! Huwa kuna shabiki mwingine wa manure niko naye ofisi moja! Huwa anatukana sana magoli ya Liverpool yakikubaliwa ila ikiwapa goli wenyewe anaisifu mno!
 
IMG_6937.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
VAR i salute you nilikaa na shabiki wa chelsea wakati goli la mane linakataliwa aliisifu sana VAR ila wakati goli la bounamouth linakubaliwa na VAR jamaa alitukana mbaya!

Sent using Jamii Forums mobile app

VAR imekuja kuwaumbua watu,goli walilofungwa chelsea walilikataa nawakati ni goli halali kabisa.bila VAR bounamouth wangenyimwa point 3 kimasihara hivi hivi.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom