Kwenye game, baada ya Klopp kumtoa Bobby, akampeleka Keita as a 10, i think he's trying to test him there, as hata kipindi cha pili chote alikuwa anacheza at the tip of the front 3, huku akisaidia kublock Salzburg pressing game with his possessional passes (explained kwenye post ya juu).
his ball progression is second to none, if he stay injury free, then him & Salah will create a very deadly link up, and its siyo kwa bahati mbaya kwamba Salah ameanza kurudi kwenye form yake baada ya Keita kuingia kwenye first team, against Salzburg, Keita alimtengenezea chances kama 2-3, but zote akazimwaga.
Nina clip nzuri sana ya Keita, but nadhani hamna options ya ku-share clips humu, but tungeelezea his game agaist Salzburg bit by bit.
Sent using
Jamii Forums mobile app