Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

8686FAF5-BE86-4C4C-B0FC-E73CDEA46DF5.png
January mbona mbali sana wakuu
 
Ooohh ok Basi ntakua nilimfananisha maana kipind Cha pili Ile game walataka kutotoa roho,Ila binafsi naami tumelamba dume kwa huyu dogo sijui Kama itakuwa vinginevyo....
#YNWA#

Sent using Jamii Forums mobile app

Naamini kabisa Klopp anajua anachokitaka kwa huyu dogo na tutakipata

Kwenye sign za kustukiza najua Klopp na Michael Edwards hawakosei kama walivyo tufanyia kwa Fabinho
 
View attachment 1290262
January mbona mbali sana wakuu
Wow just 20yrs old hii imekaa powa Sana..

Tunahitaji kuanza maandilizi ya kujenga kikosi upya Kwa vile pia tukipata EPL msimu huu wapo ma star wetu wataamua kwenda kutafuta challenge mpya kwingine.. Hivyo Klopp yupo sahihi kufanya usajili kama huu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom