Ile chenga mtu mzima VVD alipata fedhehaSio Holi TU mkuu Kuna chenga alimlamba VVD wetu pale anfield yaani kiulweli nilitokea kumuelewa Sana huyu minamino na atlast Sala zimejibu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona kama mmeshamchukua , waliweka release clause ndogoTAKUMI MINAMINO
Sio Holi TU mkuu Kuna chenga alimlamba VVD wetu pale anfield yaani kiulweli nilitokea kumuelewa Sana huyu minamino na atlast Sala zimejibu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu.Naona kama mmeshamchukua , waliweka release clause ndogo
Very trueBrother, you know the vibes..
Hili suala la LFC-based medias kuwa na upendeleo na baadhi ya players, needs to stop.
unakumbuka back in 2009, wakati Benitez anagoma kumuongezea mkataba Carragher, as he thought he wasnt good enough, the LFC-based media wakavalia njuga hiyo ishu na ku-side na Carra, mpaka kupelekea Beniteza kupoteza kazi yake (moja kati ya sababu kubwa sana za Benitez kuondoka LFC)..and malipo yake yalikuwa ni LFC kuingia kwenye dark days, i believe Benitez angebaki beyond 2009 instead of Carragher, tusingeingia kwenye banter era, hata kama pesa hatukuwa nayo.
Brother, LFC fans wa Tanzania huwa hawajisumbui kusoma hizi intakes/articles za magazeti ya LFC kuhusu players, kama tu racial profling aliyokuwa anafanyiwa Sturridge wakati wa majeruhi yake, racial profling aliyofanyiwa Fabinho mwanzoni mwa msimu uliopita, na hii ya sasa wanayopitia Keita/Ox na Gomez haijafanya hawa fans wa Tanzania waone kuna tatizo katika medias za Jiji la Liverpool, then sidhani kama watakuja kuelewa.
Black players/Foreign players huwa wanakuwa subjected to unfair criticism kila siku, and its funny kuona BLACK LIVERPOOL FANS wanafurahia/kuona ni fair kwa their beloved African players wanakosolewa/kuwa scape-goat kwenye makosa ambayo siyo yao kabisa, nakumbuka kuna siku nilisoma article ya wale "The Anfield Taw" na Tom, the writer wakati anamsifia Mane akaandika kuwa he's moving like a CHIMPANZEE, kila akiwa anakimbia. unajiuliza katika wanyama/vitu vyote duniani aliona ni heri kumfananisha Mane na CHIMPANZEE (Sokwe),
But, fans, especially black fans, watakuita majina ya kila aina ukisema "Henderson treats the ball like a grenade" which is not an offensive language at all, but watakaa kimya pale mchezaji wa ki-africa na most important player Sadio Mane, kufananishwa na SOKWE na LFC-based medias.
Sent using Jamii Forums mobile app
I tell you if this is not our full shangwe year then man we are so doomed si mchezo..We've won the Title already.
kama tukishindwa kubeba kombe from here, then tutakuwa na matatizo makubwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio Holi TU mkuu Kuna chenga alimlamba VVD wetu pale anfield yaani kiulweli nilitokea kumuelewa Sana huyu minamino na atlast Sala zimejibu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Man don't mention those craps I mean Lambert is die hard Red fan but how did Rodgers even think he can be our new Surez just cz he had a good season down at South Coast...Rodgers is a very good attacking, i deny that, but ni coach anae-thrive kwenye teams zilizotengenezwa tayari, ile Leicester kaikuta tayari ina msingi imara, wa kina Madisson/Tielemans/Ndidi/Perreira/Chilwell/Barnes/Gray/Evans/ and the main man Vardy, nadhani yeye aliongeza Ayoze na soyuncu(?),
ni kama at LFC, alikuja na kukuta tayari kuna msingi wa kina SG/Suarez/Agger etc TC ikamuongezea Coutinho & Sturridge, ilipofika muda wa ku-build team from the scratch baada ya Suarez & then Sterling kuondoka, ndiyo akatuletea Balotelli/Lambert/Lallana/Lovren/Benteke etc.
Na hiyo, Leicester, msimu ujao sidhani kama Madisson/Tielemans or Ndidi watabaki, sasa tabu itakuja kwenye kuwa-replace hao wachezaji, hapo ndiyo Leicester fans watakapomjua Rodgers vizuri.
I hate him because alimfanya Agger alie kwenye dressing kwa kum-treat vibaya, & i hate him even more kwa kutaka kuharibu career ya Firmino, even worse kuharibu kabisa career ya Markovic.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha Lost Series was/is real deal man..Lost was so nice, can watch it again & again.
ilikuwa nzuri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha Villa walianza Kwa bwebwe ni kasema my namba 2 Leo anapigika kumbe ilikua nguvu ya soda walikuja wakaachie Vardy akawa anafanya yake..Looool
nimecheka, si walipigwa 4 hii?
baada ya hii game Rodgers ndo akaanza kuvimba kichwa kuhusiana na title race.
haha!
Sent using Jamii Forums mobile app
🕵️♂️🕵️♂️🕵️♂️🕵️♂️🕵️♂️🕵️♂️🕵️♂️👀👀👀🙈🙈🙈 Wanamuita eti sasa ni world Class CP..Firmino & Henderson → 8
Keita → 7
Waingereza bhana!
Baada ya kuchezea kipigo Westham na Everton amekwenda likizo ya muda kama kawaida yake..
Yeah it's 3 years back on a Friday night away at Chelsea during Conte reign haha..Tena ndo afunge kama lile goli alilowafunga Chelsea 3yrs back (if am not mistaken) pata kuwa hapatoshi
