Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Umefikia pazuriMkuu Aaron Arsenal salama...
Utaratibu Wa kupata mbadala Wa mla kachori mshafikisha pazuri?
All the best bro..Umefikia pazuri
Mkuu Salute you Sana yaaaaaaani Son ni ready made ku shine Liverpool...
Deal done
Hivi zile sheria za kuzuia kucheza UEFA vilabu viwili kwa msimu mmoja zimeshafutwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Salute you Sana yaaaaaaani Son ni ready made ku shine Liverpool...
Imagine either flank akae Son na upande mwingine akae Mane wow tutakua unstoppable...
Jumamosi kafunga goal of the season contender..
Ishu sasa kufanya biashara na babu kipara Levy yaaani yupo tayari kumtoa bure lakini si amlete Kwa rival...
YNWA
Ooohh ok Basi ntakua nilimfananisha maana kipind Cha pili Ile game walataka kutotoa roho,Ila binafsi naami tumelamba dume kwa huyu dogo sijui Kama itakuwa vinginevyo....Yule ni Hee Chan, mkuu
Aaaa ndugu Levy si mtu mzuri linapokuja suala la negotiating kuuza wachezaji wake.. Waulize Real kilicho wakuta Kwa Modric na Bale watakwambia huyo kipara ni shinda kubwa...