Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,273
- 96,400
Acha kushabikia vitimu vya kijinga, Hamia chama kubwa Anfield hapoUsiogope mkuu .Ila ukinizingua nakuloga
Hutatembea peke yako
Acha kushabikia vitimu vya kijinga, Hamia chama kubwa Anfield hapoUsiogope mkuu .Ila ukinizingua nakuloga
Acha kushabikia vitimu vya kijinga, Hamia chama kubwa Anfield hapo
Hutatembea peke yako
Kweli mzee umeingia baridi yaani una uhakika liver itafika robo fainali, kweli majogoo ni hatariWe jidanganye tu . Dawa yenu inaiva robo fainali mtanyooshwa tu





Hajielewi achana naye mm nimeshampuuzaKijana hapa pamepita wengi lakini leo hawapo! Hujishangai kuachiwa peke yako kupiga ramli? Hujiulizi kwa nini?




Captain HENDO anajua sana soka,Klopp anajua sana kuona nani anafaa!
Yaani Hendo anakuwa mtamu kila mechi
Take it easy clown. This is football so don't take it personal .
Or you can go f*ck yourself
Linapokuja suala hendo daaaaaah, huwa unajitolea sana aiseeeee![]()
Kuna mambo Hendo anafanya kwenye dimba la chini bwana mdogo Fabihno akajifinze anapiga pasi ndefu Salah aliletewa mguuni lijamaa linapiga pasi karibu na vvd inafika kwenye boksi mpinzani unagusa tu ndani📊 | Naby Keita vs. RB Salzburg:
100% take-ons 💯
83% pass accuracy 🎯
61 touches 👏
5 recoveries 💨
4/4 take-ons 🔥
3 tackles 👊
2 shots on target 💫
2 chances created 👀
1 goal ⚽
Anafanya makusudi ili akosolewe, uchokozi tu
Yeah nakumbuka kuna shinda sio bahati mbaya, hata Keita kuruhusiwa kipindi kile kwenda AFCON angali mgonjwa ni ishu nyingine..Kumbuka hata Salah baada ya kuumia ankle vs Aston Villa (If I'm not wrong) walikuwa wakimforce mpaka akasaidiwa kupumzika kwa International break.
Mkuu Lukub hongera Kwa kunipunguzia stress Kwa kumpiga yule bwana..Kuna mambo Hendo anafanya kwenye dimba la chini bwana mdogo Fabihno akajifinze anapiga pasi ndefu Salah aliletewa mguuni lijamaa linapiga pasi karibu na vvd inafika kwenye boksi mpinzani unagusa tu ndani
Kiukweli hii ni mechi ya nne tunacheza mpira mzuri sana bila ya kujali kapangwa naniRaha ilioje ni kwamba liverpool tunavyoongeza hatua moja kweny UCL ndivyo tunazid kuwa wa moto bring them all shabashii
Faby ana long ball assists as well... And his composure in the middle is next to noneKuna mambo Hendo anafanya kwenye dimba la chini bwana mdogo Fabihno akajifinze anapiga pasi ndefu Salah aliletewa mguuni lijamaa linapiga pasi karibu na vvd inafika kwenye boksi mpinzani unagusa tu ndani
Aisee pengine ila sasa akitonesha jeraha ndio atakaa nje muda mrefu nwa natarajia apone mapema hapo twedako mechi ni nyingi tunahitaji kikosi kipana aisee...Nazani walimuamini zaidi kuliko Gomez
Vijana sasa wamekua sio tena wale makinda, uzoefu sasa wanao Wa kutosha kucheza Uefa fainali mbili mfululizo wamejua kuvumilia ndio njia pekee ya kupata ushindi hakuna tena papara za ku paniki..Kiukweli hii ni mechi ya nne tunacheza mpira mzuri sana bila ya kujali kapangwa nani