Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,314
- 7,165
Siyo umwongeze na Chealsick? Ila yeyote aje tu atatukutaaaaa!!Liverpool has the following options in Round 16
-Dortmund
-Lyon
-Real Madrid
-Sharkhtar Doneskt
-Atletico Madrid
Siyo umwongeze na Chealsick? Ila yeyote aje tu atatukutaaaaa!!Liverpool has the following options in Round 16
-Dortmund
-Lyon
-Real Madrid
-Sharkhtar Doneskt
-Atletico Madrid
Siyo umwongeze na Chealsick? Ila yeyote aje tu atatukutaaaaa!!
Linapokuja suala hendo daaaaaah, huwa unajitolea sana aiseeeee![]()
mimi ni miongoni mwa anti hendo.
Ila kwa mechi tatu mfululizo jamaa ameongeza kitu hasa forward passes.
Tatizo consistency tu.
Keita ni mzuri ila bado ana maeneo mengi ya kuyafanyia kazi kwa walioamuangalia vizuri mechi hizi mbili wataelewa. Kuna wakati anapoteza mipira maeneo ya hatari kitu ambacho kwa style ya uchezaji wa team yetu hakikubaliki. Huwezi kuona makosa ya style hii kwa fabinho na Henderson. pia kuna wakati team inashambuliwa unamuona anatembea uwanjani. Jana nimeshuhudia mara mbili, inaonyesha bado hajafikia fitness ya mapafu ya mbwa ya wachezaji wengine wa Liverpool. So far so good akijirekebisha hayo maeneo anaweza kuchukua namba.
Lakini Firmino siyo Muingereza!
Hapa ndiyo tulipofikia!
Tunatafuta weakness za mchezaji aliyecheza mechi 2, Kafunga magoli 2 katoa assist 1, MOTM games zote 2 na katoka na Clean sheet 2.
Yani tupo tayari kusifia mchezaji aliyecheza mechi 25 na kutoa assists 2 na kufunga goli 1 because tu eti kapiga pasi moja ndefu.
Hapana, 5-0 itakuwa kuwaonea. 3-1 tu inatosha na hatukuhitaji clean sheet!Sasa mahesabu yahamie kwa Watford
At least tuwapige 5 - 0
Line-Up ningependa iwe:
MANE - ORIGI - AOC
KEITA - GINI - HENDO
ROBBO - VVD - GOMEZ - TAA
ALISSON
Subs:
Adrian
Ki-Jana
Milner
Jones
Bobby
Salah
Xhaqiri
Hapo lazima Watford alale 5
Dah jamaa katukosea heshima anamfananisha fabinho na hendo??Ndani ya Liverpool Keita ndiye Master of passes!
Fabinho hana cha kujifunza kwa Hendo..
Hendo kubahatika kupiga hiyo pasi basi usiongelee kama ndiyo kawaida Yake wakati inaweza mchukua mpaka akastaafu hatopiga tena.
Usifananishe Fabinho (Backbone ya Liverpool) na vitu vya kipumbavu.
Yani Dyson akajifunze kwa Hendo?? Are you serious?
Mpaka Klopp analialia juu ya injury ya Fabinho then unaleta habari za Chuma kijifunze uimara kwa barafu?
Hapa ndiyo tulipofikia!
Tunatafuta weakness za mchezaji aliyecheza mechi 2, Kafunga magoli 2 katoa assist 1, MOTM games zote 2 na katoka na Clean sheet 2.
Yani tupo tayari kusifia mchezaji aliyecheza mechi 25 na kutoa assists 2 na kufunga goli 1 because tu eti kapiga pasi moja ndefu.
Wacha kelele wewe mbwiga, tuliwabomoa nyumbani kwenu ije mjirudie tena kwenye robo fainali mtakoma!Tutawanyonga . Usidhani uefa ni sawa na epl . We subiri muingie kwenye anga zetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ki-jana karudi ?Sasa mahesabu yahamie kwa Watford
At least tuwapige 5 - 0
Line-Up ningependa iwe:
MANE - ORIGI - AOC
KEITA - GINI - HENDO
ROBBO - VVD - GOMEZ - TAA
ALISSON
Subs:
Adrian
Ki-Jana
Milner
Jones
Bobby
Salah
Xhaqiri
Hapo lazima Watford alale 5
Duuuh kuna watu mna roho mbaya ! Umesahau cross ya Hendo iliyomaliza Man City !?
Oops ! . Really .
Then I won't be wrong to call you son of whore .
Asshole
Sent using Jamii Forums mobile app
Matusi ya nini katka jukwaa la soka???!!!!Looser. And you are here cherishing our thread.....damn.....
Hurumaaaa.....hurumaaa.....eeeh huruma.....zezeta (In that voice ya wale watoto wa Kiba)
Anyway....qumma we.
Sent using Jamii Forums mobile app