Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_6879.JPG
 
Ni bahati mbaya sana kwako ya kwamba liverpool ni timu pekee ambayo haijawahi kutabiriwa upumbavu wa hivi na ikawa, tunamshuku Mungu ya kwamba maneno ya vijana wahuni na wavuta bangi kama nyie huwa yanatupa faida sana na kutuvusha, halafu ulivyo ana akili kiduchu wenzako tunaweka mipango na kuongelea round of 16 lakini ww ulivyo kichwa maji unaongelea robo fainali, kwakweli ni tabu sana
We jidanganye tu . Dawa yenu inaiva robo fainali mtanyooshwa tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom