Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Duh! Imekula kwangu...
Yani nasubiri ifike SAA 22:45 ili niangalie game! naingia kwenye mtandao kuangalia Line-Up hatimae naikuta game ipo dakika ya 63'
Mkuu tupo wengi, mm nimeangalia first wakati nakaribia second half dstv wakanikatia package aiseeeee kumbe nilikuwa nimefikia mwisho, nikakomaa kulipa kutafuta hela kwa simu usiku narudi hewani dk 79
 
Aisee mpaka sasa na wasiwasi nao Sana hawa jamaa..

I mean how did Lovren pass the fitness test and afford his starting place..

Maswali ni mengi kuliko majibu..

Kumbuka hata Salah baada ya kuumia ankle vs Aston Villa (If I'm not wrong) walikuwa wakimforce mpaka akasaidiwa kupumzika kwa International break.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom