well done, lads.
next up in the last 16 is against one of R Madrid or A Madrid or Inter Milan or Ajax or Valencia.....
Hawa sarlzubrg wakituacha salama hawa sijui....na yule dogo wao mwenye sura mbaya anafunga kila mechi...inamaana tayari wana goli 1...inabidi tuanze na magoli 2 mapema
Yan kwa kwel sijui kuna siri gani wanatufichaAisee wanatuangusha Kwa muda sasa tazama majereha ya Keita, Matip, Allison na Leo Lovren nadhani itabidi waji tadhimini sana
Salzburg lazima wanywe damu ya Jogoo leo.
Haaland anawaangaliaaaa halafu anasema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
U r missed a lot,karibu sana mkuu2nd goal.View attachment 1288078Salah
Leo liver fools mtalala na viatu .
Tumbafu nyie
Jogoo lipo matatani leo lina hati hati ya kutupwa nje ya mashindano.
Kila lakheri Salzburg.
HahahaNi kawaida kwa mke wa kwanza kuwa na gubu pale mmewe anapoamua kuoa mke wa pili...
Siku nyingine usirudie kumtukana mmeo, utalamba talaka tatu.
Nyambafff
Duh! Imekula kwangu...
Yani nasubiri ifike SAA 22:45 ili niangalie game! naingia kwenye mtandao kuangalia Line-Up hatimae naikuta game ipo dakika ya 63'![]()
![]()
Sasa hivi Liverpool hata nikianza mimi tunashinda.
Msiwaze
.nataka nijue unamueka nani benchi?
Bring on Watford