Mimi naona katikati iwe keita, wajnadum na ox. Hawa vijana ni wepesi wanahitaji viungo wepesi wenye unyumbulifu
Jk Leo atupangie kikosi hiki tusilaze damu maana wale watoto wana tabia mbaya sana:-
Alison
TAA. GOmez VVD. Robo
Milner. Hendo. Ox.
Salah. Firmino. Mane.
Sub.
Adrian
Lovren
Gini
Keita
Shaq
Jones
Origi
#YNWA.