Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,365
KweliIn keita we trust
KweliIn keita we trust
2 tayarLeo mnanyolewa bila maji


Salzburg lazima wanywe damu ya Jogoo leo.
Haaland anawaangaliaaaa halafu anasema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Mtu mzima ovyoLeo mnanyolewa bila maji
Hiloo bichwa kama nazi limeumbukaWew kiazi wa ikwirir kabangue korosho ulale kijana
Nadhan walimlazimisha tu ..Our medical and fitness unit is really screwing us big time...
Lovren is sick na bado yumo
Salzburg mpira wanaocheza sio wa sayari hii . Wananikumbusha dortmund ya 2013-2015