Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_6870.JPG
 
Hawa sarlzubrg wakituacha salama hawa sijui....na yule dogo wao mwenye sura mbaya anafunga kila mechi...inamaana tayari wana goli 1...inabidi tuanze na magoli 2 mapema
 
Katika game ambazo hadi shabiki wa liverpool ataangalia ameshikilia roho ndio hii


Yaan hawa madogo wakiwafunga mnaenda kucheza europa...
 
Gori za mapema ndio ushindi wenu,

Mkiacha space kama napoli, humu ndani itakuwa kilio...
Kwa wale jamaa walivyo ni kupambana namna yote ile kwanza tusiruhusu goli na hapo ndio mtihani unaanzia bila Fabby hatuna mkata umeme mwingine wa uhakika..

Tunafahamu umuhimu Wa mechi hii kama wao wenyewe wanavyohitaji pia kuvuka hivyo itakua gemu ya wazi mno na ya kusisimua...
 
Jk Leo atupangie kikosi hiki tusilaze damu maana wale watoto wana tabia mbaya sana:-
Alison
TAA. GOmez VVD. Robo

Milner. Hendo. Ox.

Salah. Firmino. Mane.

Sub.
Adrian
Lovren
Gini
Keita
Shaq
Jones
Origi

#YNWA.
 
WHAT HAPPENS TONIGHT GUYS WELL THIS THE SCENARIO

Liverpool are guaranteed to qualify if they avoid defeat at the Red Bull Arena.

A defeat, however, will put them out of the competition apart from in two unlikely scenarios.

The first is that they still manage to score four or more away goals in defeat, which would put them ahead of Salzburg in head-to-head terms following the 4-3 win at Anfield.


The second is that Napoli lose at home to bottom side Genk in the other game. That would leave Carlo Ancelotti's side on nine points, with Liverpool therefore joining Salzburg in the knockout stages - albeit in second place - on 10 points.

If Napoli draw with Genk and Salzburg beat Liverpool without the Reds scoring those unlikely four away goals, then all three teams would finish on 10 points, with Liverpool crashing out due to inferior head-to-head records against both sides.

SKYSPORT
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom