Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,273
- 96,398
Yaani bado siaminiamini yanayojiri... vijana wananipa raha mpk napata kigugumizi cha vidole...Hahhaa babu mbona umepotea sana humu wewe na bujibuji kwa pamoja 😅😅😂
Yaani bado siaminiamini yanayojiri... vijana wananipa raha mpk napata kigugumizi cha vidole...Hahhaa babu mbona umepotea sana humu wewe na bujibuji kwa pamoja 😅😅😂
Duuh Vardy kama jini aisee miaka 32 lakini jamaa anavyochomoka ni hatari kawapiga la pili sasa hivi...Hahahha hatuna namna tena ni kuchapa kazi uwanjani huku tukiwaombea dua mbaya wabaya wetu...
Huyo jamaa anafananisha maDoppler,maquantum na mpiraRudi shule tajiri, and this time kajifunze kuelimika na sio madesa.
Ya kwetu alishalala 2 1, mzunguko wa pili ndio tunaanza nao kwao mapema 26/12/19leister moto wa mabua
tutamuona kama mpinzani kwetu akiivuka game ya man cty na yetu wenyewe
Ya kwetu alishalala 2 1, mzunguko wa pili ndio tunaanza nao kwao mapema 26/12/19
Hawa jamaa kwa sasa EPL ndio wanacheza mpira halisi wa kaunta..
Hivi sasa haya mabwege ndo yamekluwa tishio letu... maisha yanaenda kwa kasi sana asee...Duuh Vardy kama jini aisee miaka 32 lakini jamaa anavyochomoka ni hatari kawapiga la pili sasa hivi...
Naona tushinde yetu tusitegmee msaada kwa wengine..
Duuh Vardy kama jini aisee miaka 32 lakini jamaa anavyochomoka ni hatari kawapiga la pili sasa hivi...
Naona tushinde yetu tusitegmee msaada kwa wengine..
Inaniuma sana ila lazima nikubali liver safari hii baada ya miaka 30 mnabeba epl. Na mtakuja chukua tena baada ya miaka 40+....
Dont be carried away, liver is not as big á you people think...a museum club...
Nimekusoma ndugu... Kwetu kufika 25 nadhani itakua Januari na Feb na bila shaka Kwa namna rotation inavyo kwenda sioni Wa kutishia amani..
Kuanzia sasa mpaka tarehe 29/02/20 EPL pekee tuna gemu 12 hivi hapa ndio naamini tukitoka salama basi ubingwa huu Leicester au Manchester City wa usahau mazima..
Kumbe humu kuna Watu wanafatilia game za Leicester?
Sijawahi kufikiria kuwa Leicester ni Contender wetu.
Sasahivi ubingwa unadetetmine na kuzifunga Timu kubwa na Vibonde. Tofauti na mwaka aliochukua ubingwa yeye ilikuwa inadetermine na kuvifunga vibonde tu ndiyomana alibeba ubingwa ingawa alidundwa na Timu kubwa.
Sasa msimu huu mambo yamebadilika. Leicester hana uwezo wa kuzifunga Timu kubwa zaidi ya alivyomfunga Arsenal.
Anaweza kudraw uwanjane kwake lakini akienda Away hawezi kushinda wala kudraw kwa Timu kama Man City, Spurs, Man United na Liverpool.
So, hanipi pressure hata kidogo.. Ninachohitaji tuimalize January tukiwa tumempita Man City kwa points 15+ tu, huyu Leicester hata kama tumempita Kuwa points 1 bado hajanipa wasiwasi.
Dont be carried away, liver is not as big á you people think...a museum club...