Kwann umeona hivyo?Kwa hii game ya leo
Ni rahisi sana lecister city kumfunga man city kuliko liverpool,
City beki zake mbovu sanaa,Kwann umeona hivyo?
Joao teixeira huyu dogo nilikua namwona ana potential sn, sijui yupo wap siku hizi...... then phil cou ndio aliniuma sn alipohama
City beki zake mbovu sanaa,
Na kama watakutana na lecister city yenye foward wakali kina vardy na counter attack hatar, naiona city ikila magor ya kutosha,
City wanaposess sana mpira, mbaya zaid hakuna mbunifu wa kufumania nyavu, wanapasiana had kwenye box, mpaka wanapoteza mpira
Wamebaki wakibabatiza mpira mikonon huku wakisubili var penalt,
Stering, maherez wote wanapokutana na beki ngumu huwa hawanaga ujanja tena, hata shot za mbali, hawana ,ex man u
City wanapanda sana juu, huku nyuma ni kubovu sanaa, wanaacha vi nafasi flani, ambavyo foward akitulia anawapiga gor nying sana ex rashford kakosa clear chance kabisa
Lecister city kumfunga man city is very simple,
Na huyo Leicester akikutana na liver anakalishwa vizuri tuCity beki zake mbovu sanaa,
Na kama watakutana na lecister city yenye foward wakali kina vardy na counter attack hatar, naiona city ikila magor ya kutosha,
City wanaposess sana mpira, mbaya zaid hakuna mbunifu wa kufumania nyavu, wanapasiana had kwenye box, mpaka wanapoteza mpira
Wamebaki wakibabatiza mpira mikonon huku wakisubili var penalt,
Stering, maherez wote wanapokutana na beki ngumu huwa hawanaga ujanja tena, hata shot za mbali, hawana ,ex man u
City wanapanda sana juu, huku nyuma ni kubovu sanaa, wanaacha vi nafasi flani, ambavyo foward akitulia anawapiga gor nying sana ex rashford kakosa clear chance kabisa
Lecister city kumfunga man city is very simple,
when was this? is that not Emre Can?
Vardy si mtu mzuri ndugu, aisee niliangalia ile gemu na Manchester City kazi wanayo Kwa hawa jamaa...naona muda huu teyari wanaongoza goal 4 kwa 1 Aston villa