Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Tajiri kumbe umepiga mavitu ya physics
Ndiyo yaliyompa utajiri hayo
Aliweza kumaster vizuri sana Calculations za Error na kuzitumia kwenye real life kwa kupunguza error kwenye mapato na Matumizi.
Pia alimaster vizuri sana kwenye Projectile motion ndiyomana ana makisio mazuri ya kulenga maisha.
