Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Aisee, kati ya vitu haviniwazishi ni Leicester, najua kabisa upepo wake utakata muda siyo mrefu.

Aliyekuwa ananiwazisha ni City peke yake, naye ameshatepeta.

Man, get your time to watch them
Foxes wame-upgrade sana toka last season hawa wanaweza kutu-challenge up to 25 games

City confidence isha kata na kitakachokuja kumharibia kuanza kubadili upepo akimbize UCL
 
Nimeona game zao kama 7 hivi, pressing yao naikubali sana.

Kitu kinachonipa confidence ni game yao ya tar 21 vs City, ninaamini City lazima watawapunguza points jamaa na gap litakuwa 10 ikiwa draw au 11 wakipoteza.

Then 26 December tunakutana nao kwao, tukiwaua tunakuwa tumeweka gap.
 
Ed, tangu aanze kuangalia Game of thrones, ndiyo kaacha kabisa kutupia zile after-match pictures zake za moto moto. hahaha!

Game of Thrones, best Tv series in history?

i liked, Breaking Bad na Lost pia..

Then kuna Tv series moja ya S.Korea inaitwa Secret forest, Aisee, y'all need to watch it, ni ya moto.
Haha amesema anarudi upya kutupia kama zamani hivyo jukwaa litazid noga zaidi huku Ladder 49 nae akifanya yake...

Series bana I would go with 24 ya Jack Bauer,.. Pia Lost was damn intriguing you wouldn't guess what happens next..
 
Sorry nilikusudia Man City

Leicester hawezi kunifanya niache yangu nimfikirie yeye
The only thing that is a bit encouraging Kwa hawa Foxes ni kwamba hii form yao ni bora kuliko ile waliyokua nayo wakati wanachukua ubingwa msimu ule ndio maana mandogo wanaamini Sana kwamba if us the Reds slip basi its thiers to lose...
 
Nimeona game zao kama 7 hivi, pressing yao naikubali sana.

Kitu kinachonipa confidence ni game yao ya tar 21 vs City, ninaamini City lazima watawapunguza points jamaa na gap litakuwa 10 ikiwa draw au 11 wakipoteza.

Then 26 December tunakutana nao kwao, tukiwaua tunakuwa tumeweka gap.

Cool calculation, at the same time we need to avoid the draw ghost

Tukiweza ku-run up to 28 games without L & D, race inakuwa imeisha mapema sana
 
Cool calculation, at the same time we need to avoid the draw ghost

Tukiweza ku-run up to 28 games without L & D, race inakuwa imeisha mapema sana

We have gone through a lot of tests, I won't call a game vs Leicester is a test, I had rather call it "a statement".

Lads will need to show the world that they real need it.

In fact, katika kipindi changu cha kuangalia mpira hatujawahi kuwa na Liverpool hii.
 
Nili maanisha namba za games (yaani mpaka kufika games 25 kwa wote)
Nimekusoma ndugu... Kwetu kufika 25 nadhani itakua Januari na Feb na bila shaka Kwa namna rotation inavyo kwenda sioni Wa kutishia amani..

Kuanzia sasa mpaka tarehe 29/02/20 EPL pekee tuna gemu 12 hivi hapa ndio naamini tukitoka salama basi ubingwa huu Leicester au Manchester City wa usahau mazima..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom