zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,322
- 9,771
Rudi shule tajiri, and this time kajifunze kuelimika na sio madesa.
Ndo maana nasema tunatofautiana
Kwangu mimi mtu ata awe na elimu au cheo kipi, kama sikubaliani nae ni sikubaliani nae tu
Ata kama angekuwa kashakuwa kocha wa liverpool, siwez kuwa zezeta nikubali chochote atachosema, nawe pia inabidi ujifunze kuwaza wewe kama ww na usidanganywe na cheo,
Since niko Alpha High School form 5&6, nilikuwa napishana na mwalim wangu wa physics nyia za kufanya maswali japo majibu yalikuwa yaleyale, kilichokuwa kinamake sence kwangu kwake kilikuwa hakimake sence, na kigezo chake ni kuwa njia yangu ilikuwa rahisi sana na marking scheme yake haioneshi mgawanyo wa marks kama nilivyofanya, ila sometyms nikisingizia iyo njia nimeiona kwenye kitabu au nimefundishwa na prof anakuwa tayr kunisikiliza japo ni njia niliotunga
All in all, what makes sense to you wont make sence to others unless you open your mind, na sie kuwa mwenye profile kubwa hakosei



