mmangO
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,025
- 1,623
Majeruhi mkuuWapi Nathan Clyne siku hizi?
Majeruhi mkuuWapi Nathan Clyne siku hizi?
Keita ana kipaji halisi ila tu basi ..tuombe asiumie tena.Keita kapiga mpira mwingi sana leo
You can say that again
Kuna LFC supporters Wana kaugonjwa na bullying
They pick the vulnerable ones
And now wafunge madomo yao
Even today he tries his level best. That long straight pass to Ox prove something different. He show up his face and look at Ox.Henderson.
watu wanaosema i hate him, waangalie tena his cameo, yesterday.
that is Henderson, we want (at-least).
zile pass mbili kwenda kwa Mane, zilionesha kuwa ana uwezo wa kufanya hivyo vitu, anavyo in his locker, but for some reason huwa anaamua kuwa coward, and thats is because anajali zaidi player ratings na kusifiwa kwenye social media kuliko ku-take risks for the team
kama Mane angefunga zile chances, angekuwa ametoa two assists na kuisaidia team kuongeza GD, but next time kuona passes kama zile itakuwa ni feb au march, he's a coward, anaogopa ku-take risks.
hence, huwa anacheza hovyo kwenye roles zote anazopewa, i want him to express himself, play football without fear, dude always treat the ball like a grenade or kama kaona chui.
...and anatakiwa apunguze makelele, uwanjani, anaboa wenzake.
but, i swear to God, kama kwenye huu mwezi wote akicheza kama alivyocheza jana, i'll never talk a bad word about him, by the way, he always thrives kwenye 4231 or 442, so i hope switching to 4231 will help him a lot.
honestly, we need every single player to step up right now, and as a captain anatakiwa kuwa mfano as tunapoingia kwenye hii busy schedule.
He had a good cameo, y'day. i'm happy for him.
Gomez siku hizi si wa kuamini sana
Watunga kanuni wanasema hiyo ban ya game 1 kwa Alison sababu faulo aliyoicheza haikumletea madhara makubwa mchezaj pinzani...la sivyo angesugua game 3.Ni kikosi kizuri sana hicho ingawa nina wasiwasi na Gomez hapo.
Lol! Nilidhani ile Kadi ya Alison (Straight red card) ni suspended ya 3 matches au kuna mabadiliko ya sheria?
Tuiombee man uuu japo kwa Leo atusaidie
Kabisa nakubaliana na weweKauli mbiu ya sikuhizi ni 'KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE'.
Nakumbusha tu
Man City 0 - 1 Manure
Nawaombea zaidi suluhu maana city ni mpinzani wetu asiyetabirika huku Manyumbu ni timu nayoichukia ingawa hawanijui kama nipo duniani.Nakumbusha tu
Man City 0 - 1 Manure
Nawaombea zaidi suluhu maana city ni mpinzani wetu asiyetabirika huku Manyumbu ni timu nayoichukia ingawa hawanijui kama nipo duniani.
Habari yako bwana Ngwaba?
Kweli kabisa, wajuane wenyewe huko! Sisi tumeshamaliza yetu! Nakumbuka sana mwaka Jana alichotufanyia manure!Kabisa nakubaliana na wewe
Ila City anaonekana kutepweta sana game ya leo.Habari ni nzuri (Njija) tu.
Man City si wa kumuombea Draw kwani sare itamoa point 1 ambayo ni kubwa sana kwenye mpira.
Wacha Manure ashinde tu hii game as long as hana athari kwetu
Download shazam ukiusikia tu ushazam itakuleteaWakuu nawezaje kuupata wimbo wa tangazo la cocacola.. Hili la supersport...naupenda sana huo wimbo