Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_6803.JPG
 
How we finish 2019 EPL: Bournamouth, Watford then Leicester (away) before we welcome Wolves.

12 points to fight for and we will be standing tall this 2019.

YWNA.

Kwa hii mentality iliyopo na Mane anachokidhamiria kutuonesha kwenye huu msimu ikitokea tumedosha points hapo basi ni 2 otherwise naona tunavyozibeba zote, tuanze kuchanga karats za round ya 2
 
LFC fans, its okay to be worried na team selections za Manager, especially katika msimu ambao tunaitafuta league title kwa hali na mali.

pia, itabidi tupunguze ule unafiki kidogo, naamini hakuna LFC fan duniani ambaye hakushitushwa na Line up ya Jana dhidi ya Everton, no matter how you spin it, ile Line Up lazima ilikupa shida kidogo, Everton are shit, but derby is a derby, na sidhani kama kuna mtu hakupata tabu kidogo kuona ile front 3 au Midfield ya Lallana na Milner, but as always kwa mashabiki wa LFC, tutajifanya hatukushtuka kwa ile Line up kwasababu tumeshinda goals 5, but kama tungefungwa/draw lawama zote zingeenda kwa Klopp, na huu ndiyo unafiki unaozidi kutafuna baadhi ya mashabiki wa LFC.

we just need to congratulate Klopp kwa kuamua ku-gamble, especially against Everton.

Tunaingia kwenye busy fixtures, so kwa Klopp kuamua kufanya 5 changes jana, kumeonesha ukomavu wa team na his in-game management, rotation ni muhimu sana kwasasa ili kuepuka injuries na kikubwa zaidi fatigue ya January-feb.

kubadilisha first team, always ni risky, but sometimes ni muhimu kuzingatia plans za muda mrefu zaidi, msingi mkuu ukiwa ni kuepusha long-term injuries kwa important players, changes are innevitable kwa kipindi hiki, tunachotakiwa ni kuombea ushindi & good results, na hata kama tutapata matokeo mabaya (Lose or draw), hatutakiwi kulalamika, kwasababu rotation kwenye first team huwa ina faida na hasara zake pia, na kwenye busy schedules kama hii ya december ni suala la kawaida sana ku-drop points.

But, again, under Jurgen, imeonekana huwa tuna-strive sana kwenye chaos, hatujawahi kuwa na december mbovu chini yake, hiki ni kipindi ambacho huwa ana-switch kwenye 4231, ili ku-compansate a legit rotation, na ndiyo kipindi ambacho huwa tunacheza a very good football (Yesterday's game should be an example)..and i'd say we need to do rotation kubwa sana kipindi hiki, ili kuepuka fatigue ya January, Mane/Salah/Firmino should be rested mara kwa mara, Trent/Andy should be rested mara kwa mara, Gomez/Milner should be covering for them for the time being, then kama budget itaruhusu tuingie sokoni January kutafuta a decent full-back (LB/RB), its not good, but i'm glad Fabinho is out for a month, because atarudi January akiwa flesh kabisa because we all know angekuwa fit, Klopp asingem-drop kwenye mechi hata moja this december, player ambaye hatuwezi kum-pumzisha kwasasa ni VVD tu, especially Matip akiwa hayupo.

I'm not worried about this month's busy schedule, i think we'll be just fine, our defining title moment ni january-feb.

But, we're in very good shape now, pound for pound best team in the world right now, and i'd say with my chest open, this is the best LFC team in history.
 
Shaqiri.

What more can you ask from a back-up player?

Yesterday, alitupatia his best performance kwenye jersey ya LFC.

he will be our Key asset kwa mwezi huu.

I'll say it again, he's one of our most talented players in our squad, and kwa bei tuliyomnunua ilikuwa nothing but bargain ya kutosha sana.

..and as crazy as it sounds, huyu ndiyo attacker wa kwanza, Klopp anayemfikiria akiamua ku-switch kwenye 4231, Shaqiri fits like Mbowe & Chadema kwenye hii set-up.
 
Origi.

him & Gabriel Jesus got to be the best back up STs in the world right now.

personally, i think he's even better.

at £10m, you cant ask for another back-up ST kwenye squad.

still 25, with a lot to offer, he's slowly back to his usual best, y'all remember yule Origi wa msimu wa kwanza wa Klopp? Origi wa kabla ya ile injury? he's back now.

Good hold-up play/control/Pressing/eveding tight spaces/moving into ball-channels/Speed/Scoring big goals for fun/Cold goal-celebrations/killer trim.


We couldnt ask for more.
 
man utd wanaweza wakaingilia hii deal..

pilii sijawahi msikia klopp akimuongelea huyu dogo na mara nyingi klopp anafanyaga suprise unakuja kusikia tu liverpool yakamilisha deal ya mchezaji flani kama alivyofanya kwa keita na fabinho sema liverpool wanabid wafanye hata transfer 1 au 2 january...

nimesikia boss anampango wakuongeza viti 7, 000 kwenye jukwaa la Anfield road stand kuifanya capacity ya Anfield kuwa 61,000 nyuma ya spurs (62,062) na man utd( 74,879) kitu ambacho kitaongeza revenue na hamasa itakayo tokana na ushangiliaji uwanjani.., kama hii plan itatekelezwa kabla ya msimu ujao liverpool italizimika kutumia kitita cha £60m

So unaionaje hii haiwez kweli kuingiliana na transfer plan za msimu ujao?
hawa owners wasituletee za kuleta hapa bana. our squad inahitaji beefing up from time to time if we want to remain at the top end of the footballing hierarchy for a long haul.

investments zote 2 (stadium expansion & players recruitment) ni long term projects, so not an instant cost as it can be armotized over the investment lifetime.

labda wasingizie hawana cash - which again will be ridiculous.... get yourself a lender for heavens sake!
 
Mane.

all i can say, Cristiano Ronaldo hakutakiwa kumaliza ahead of him kwenye BDO

...and jana kwenye first half, he shamed wahusika wote wa BDO, bar his idol & biggest admire, Lionel Messi.

haha! forget about his misses in the 2nd half, my brother did everything he could to not hand Mr. Henderson an assist, dude bottled 2 sublime passes from the captain, haha!


But, its all good. 1 goal & 2 assists.

Best attacker in the world for the past year, not named Messi.
 
Lovren.

he's been decent, i cant lie & what an assist!!!

but, he was at fault for both everton goals, especially the 2nd one.

anyway, high-line set-up, inatupa wakati mgumu sana kwenye kudefend now, but we gotta stop conceding easy goals.

tupo kwenye good shape now, but God forbid, tukiingia kwenye bad patch, magoal kama ya jana yatatuadhibu sana, so we need to sort it out, and tuombee Matip arudi haraka sana, though our medical staff is shit, kama nilivyosema msimu ujao, tunatakiwa kuifumua medical staff yote kabla haijatucost big time.

all in all, Lovren ame-step vizuri for the past few weeks, uwezo wake umeishia pale, so we just need to pray hakuna madhara makubwa atakayoleta kipindi ambacho Matip hatakuwepo, because we need him more than ever now, he's a senior CB, so tuombee azidi ku-step kila siku.

Fingers crossed.
 
Gini.


my boy is back in his usual-form haha!

Fabinho esque performance y'day, carried an entire midfield on his back y'day.

he was superb, was everywhere on the pitch.


so happy for this dude.

he's a very good person, he deserves haya mafanikio yote anayoyapata.
 
Trent.

he was not good y'day.

mtoto wa mtaani, i guess yeye na wenzake kina Lewin/Davies walipania sana derby haha!

good thing is, he's improving kila siku kwenye upande wa ku-defend, na anazidi kujiamini..

it was risky, but kuna kipindi alikuwa anajaribu ku-take his opponent on kwenye dangerous areas, ambapo attempt zote alipoteza mipira, but he's learning.

You cant ask for more from a 21 year-old kid, at that age, he's already one of our best players in the team, i'd say after Faby/VVD and the front 3.
 
Henderson.

watu wanaosema i hate him, waangalie tena his cameo, yesterday.

that is Henderson, we want (at-least).

zile pass mbili kwenda kwa Mane, zilionesha kuwa ana uwezo wa kufanya hivyo vitu, anavyo in his locker, but for some reason huwa anaamua kuwa coward, and thats is because anajali zaidi player ratings na kusifiwa kwenye social media kuliko ku-take risks for the team

kama Mane angefunga zile chances, angekuwa ametoa two assists na kuisaidia team kuongeza GD, but next time kuona passes kama zile itakuwa ni feb au march, he's a coward, anaogopa ku-take risks.

hence, huwa anacheza hovyo kwenye roles zote anazopewa, i want him to express himself, play football without fear, dude always treat the ball like a grenade or kama kaona chui.

...and anatakiwa apunguze makelele, uwanjani, anaboa wenzake.

but, i swear to God, kama kwenye huu mwezi wote akicheza kama alivyocheza jana, i'll never talk a bad word about him, by the way, he always thrives kwenye 4231 or 442, so i hope switching to 4231 will help him a lot.


honestly, we need every single player to step up right now, and as a captain anatakiwa kuwa mfano as tunapoingia kwenye hii busy schedule.


He had a good cameo, y'day. i'm happy for him.
 
..LFC bado kuna staffs wachache wanaendekeza tabia za kibaguzi, especially ubaguzi wa rangi.

i felt discriminated kwenye players-canteen (before & after the game), because of my colour & origin, kabla ya kuonesha my membership card & scout ID, white people were allowed kupata pass ya canteen first, after the game kabla ya blacks/asians. the scout ID saved my arse.

Last time, back in 2008, we went straight uwanjani & it was cool, but this time ilikuwa shughuli kuzama canteen Aisee lol, its not appropriate, but kama white people wanapata pass, watu wengine pia wapate, kama ni ngumu, then club ikataze watu kulazimisha kuingia canteen/players family waiting lounges kupata picha za karibu. scousers washazoea because wanapata picha kila siku nje ya melwood na wanakutana na players kwenye shopping malls/churches/masjid/Airports au mitaani, sisi wengine lazima tuhangaike kidogo.


Then, nilishawahi kusema huko nyuma kuwa, kama wewe ni LFC fan wa ukweli, usione aibu kuambiwa kuwa una-sapport team ambayo ipo mbali na wewe etc, its all about passion na kufanya kile ambacho moyo wako unapenda, so ili uwe supporter imara zaidi, chukua membership card ya club, kuna ya mpaka ya elf80+ kwa mwaka, ukiwa na card kama hii unapata upendeleo mkubwa sana, hasa kwenye merchandises na vitu vingine vinavyohusiana na clubs.

sidhani kama kwa kijana anaetafuta pesa mchana na usiku atashindwa ku-afford membership card/voucher ya elf80+ kwa mwaka, au atashindwa kujikusanya kupata original jersey nzuri sana, na kwasasa ambapo NIKE wanatake-over, stores zao zimetapakaa Africa, so ni rahisi sana ku-order jersey from Nike stores kama unaona ni tabu kutoka direct from LFC.

kiukweli, as a country tuna safari ndefu sana ya kiuchumi, na kitu kikubwa kinachoogopesha foreign companies/stores kuja kuwekeza hapa Tanzania ni kwasababu ya our unstable Tax policy, nasema "policy" because Tax law is clear we choose not to follow it kwasababu haitanufaisha watu wachache, ishu ya Tax inflation ni kikwazo sana, ukisogea South Africa, kuna kila aina ya companies/stores, Nike stores/NB stores/Adidas stores/Puma stores etc na zote zinafanya biashara vizuri & watu wanapata merchandises original kwa wakati.
 
Rotation, Vs Bournemouth.

i think Alisson will come in..

I'd rest Trent for Gome, then give Robertson 60 minutes max.

kwenye MF, i'd go with Henderson-Ox-Keita.

Wijnaldum alicheza dk 90 zote jana, so i think, he'll be rested.

i'd bench Mane against Bournemouth, and start Shaqiri at LW with Salah & Firmino.

We cant afford to bench the entire front 3, kama Mane hatoanza basi one of Salah/Bobby should start au wote wawili, but i wont mind kama Salah ataendelea kupumzishwa.

Alisson-Gomez-Lovren-VVD-Robertson-Henderson-Keita-Ox-Shaqiri-Salah-Bobby/Origi.

4231.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom