permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,333
- 15,049
Hicho ndio kile kipigo cha mbwa kokoYani Everton anavyomuadhibu Chelsea huwezi kuamini
Hicho ndio kile kipigo cha mbwa kokoYani Everton anavyomuadhibu Chelsea huwezi kuamini
Jaribu slingDadeki! Mvua imepamba moto Dstv inabuma
Jaribu sling
Hahah Sasa Gomez ana kadi lovren tayari hoi ...dah hatariHapa ndiyo ulipo upumbavu wa Gomez
Ile assist aliyotoa Salah ni wachezaji Maalumu wenye uwezo wa kuitoa! Then anatokea someone anamdharau Salah.
Kweli?Maneee jmn mbele hakuna ubunifu
Ile assist aliyotoa Salah ni wachezaji Maalumu wenye uwezo wa kuitoa! Then anatokea someone anamdharau Salah.
Mkuu ni mchezaji wetu ndio tunaye lkn unampa sifa nyingi sana kuliko uwezo wake