Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hendo anazidi kung’ara uwanjani!
Msio mpenda anazidi kuumbua macho-kuvimba.
Hendo we trust you boy!
 
Viva la captain...pamoja na na mapungufu yanayovumilika aliyonayo Henderson...Sijawahi kujuta Wala kumuombea mabaya bwana huyu na Kila siku unazid kunifanya nisijutie kukuona na kitambaa mkononi...nashukuru umefanya kazi ya kukutetea inazidi kuwa nyepesi kwa wanakuombea Hadi injuries kisa TU usiwepo kikosini...
 
Licha ya kushinda naona Bora aingie Jones kuliko Keita...
Mmmh mkuu Jones kwenye hii game !? ...sio rahisi ..keita kidogo hana match fitness..ila ni bora kuliko mjaribisha huyo dogo kwa leo ..still game ngumu hii
 
Tuongeze 4 ziwe 7 nasi turingie magoli na points ...tupige clean sheet ya kibabe..keita & Mo Salah tunashukuru sana
#YNWA
 
Kiongozi badilisha Channel mechi tunayoiangalia sisi ni ya Liverpool ambapo kuna Keita tunayemjua sisi na wale sio Keita huyo unayemuangalia wewe wa AS Vita Club ya Congo.
hahahhahahahahaha hahahga jajahh hahha daaaah we jamaa bhana majibu yako nimejikuta nacheka tu

ahsante kwa kunifanya ni comment maana me ni msomaji tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom