Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tunaendelea na rotation ..
liverpoolfc-20191207-0001.jpeg
 
Mbona kishindo cha awamu ya 5 wanasemaga barabara yote toka Dar mpaka Dom ni 4G? Kazi kweli kweli!

Mimi ni mmoja ninaepita Mara kwa Mara Dar - Moro - Dom na kuishia Singida.

Ukiwa na Voda au Tigo kuna sehemu haisomi kabisa.

Angalau Airtel na Zantel ndiyo inasoma kutoka Dar mpaka Singida lakini hazisomi kwa 3G wala 4G bali ni 2G (E) tu.
 
non violent contact ni one game mkuu.........
Ni kikosi kizuri sana hicho ingawa nina wasiwasi na Gomez hapo.

Lol! Nilidhani ile Kadi ya Alison (Straight red card) ni suspended ya 3 matches au kuna mabadiliko ya sheria?
 
Ni kikosi kizuri sana hicho ingawa nina wasiwasi na Gomez hapo.

Lol! Nilidhani ile Kadi ya Alison (Straight red card) ni suspended ya 3 matches au kuna mabadiliko ya sheria?
M mwenyewe nilidhani Hilo ila mwezi huu tutachakaa ..wacha wengine wapumzuke kidogo games nying lol
 
Chonde chonde
Tunahitaji EPL
Hayo makombe mengine angewapanga akina Lalana
Mkuu Presha ziko sawa Bora kutoka mtoano kuliko kushindwa kufuzu ...tunaweza vunjika moyo kupambana zaidi kwenye EPL ..ila games za EPL bado nyingi sana uzuri Yuko benchi Gomez akichemka mbadala upo...all in all point 3 ndo muhimu zaidi ..
#YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom