Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naona jiwe la gizani limekugusa. Hamna sehemu ambayo jamaa amesema kwamba timu isifiwe tu, bali ameongelea 'pumba' - Kuongea vitu ambavyo havina mantiki. Kukosoa haimaanishi kusema pumba, lah! Bali unachoongea basi kiwe na mantiki na si tu kubwabwaja maana una simu na bundle.
I know in this thread

Ukisifia liverpool -hiyo point inamantiki kama inavosema

But if you go against liverpool -hiyo point inakuwa pumba

Mechi 3 zinazokuja kazi tunayo,, kama Adrian hatatulia haki ya nani twafa! Jana kuna moja ameitema almanusura aisukumizie wavuni! Najua mechi hizo pressure itakuwa juu sana kwetu mashabiki!

Najikuta namtetea Adrian kama jamaa humu wanaometetea Henderson.

For God's sake, hatujawahi kupoteza wala kutoa draw mechi aliyodaka Adrian.

Na msimu huu tuna cleansheet 2 tu na zote ni za Adrian.
 
Watu wanasahau kama Adrian alitokea bench without warm up

Hata lile goli ukiangalia kwa makini it's just like karma (Barca corner) ... Adrian is good one
 
Yes, lile goli lilikuwa ile tunasema "caught off-guard".

Magoli ya namna ile ameyafunga Thierry Henry, mkiwa bado hamjajipanga goli linaingia.

Na ile kona yetu last time ilikuwa ya namna hiyo.
 
Najikuta namtetea Adrian kama jamaa humu wanaometetea Henderson.

For God's sake, hatujawahi kupoteza wala kutoa draw mechi aliyodaka Adrian.

Na msimu huu tuna cleansheet 2 tu na zote ni za Adrian.

Dah! Brother unavyomtetea Adrian nahisi kama unatania hivi!!!!

Sio siri nipo tayari golini akae Juma Kaseja kuliko Adrian.

Lakini kwavile Adrian ndiye Kipa pekee tuliyenae kwasasa basi ninamsupport kwa 100%.
 
I think this is a joke right?

Hivi toka Adrian amedaka Liverpool, tumepoteza mechi ngapi EPL?

How do we measure goalkeepers performance?
 
Isitoshe mara nyingi wachezaji ndo huhakikisha mpira haupigwi mpaka wa hakiki goli kipa kakaa kwenye nafasi yake.tumezoea kukariri majina ila kiukweli Alson hajiamini na ile kadi anastahili adhabu ya kukaa benchi mechi hata tano.

Ule utokaji ule angetoka Adriani mitusi ingekua mingi sana humu.
Lile kosa ni la kushtukizwa, golikipa yeyote anafungwa.

Hatujapoteza game kwenye ligi ambayo Adrian amedaka, na kama sijakosea ana clean sheet pia.

Adrian no golikipa mzuri kwa kikosi chetu.
 
Isitoshe mara nyingi wachezaji ndo huhakikisha mpira haupigwi mpaka wa hakiki goli kipa kakaa kwenye nafasi yake.tumezoea kukariri majina ila kiukweli Alson hajiamini na ile kadi anastahili adhabu ya kukaa benchi mechi hata tano.

Ule utokaji ule angetoka Adriani mitusi ingekua mingi sana humu.

Ni uzembe wa hali ya juu golikipa kupata kadi nyekundu namna ile.
 
Sasa tunaingia December

December

Wednesday 4

Liverpool – Everton

Saturday 7
Bournemouth - Liverpool

Saturday 14
Liverpool – Watford

Saturday 21
West Ham United - Liverpool (Postponed)

Thursday 26

Leicester City - Liverpool

Saturday 28
Liverpool – Wolverhampton Wanderers
Tukipata robo tatu ya pwent sie mabingwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom